Steven Joel Ntamusano
JF-Expert Member
- Jun 17, 2023
- 5,203
- 3,913
Baada ya misa kila mtu anao uhuru wa kunywa kinachokuwepo. Wakatoliki hatuna mbwembwe za kilokole, pombe inaruhusiwa.View attachment 3189715
Gazeti la Mwananchi limeonyesha kabisa Waamini wa Kanisa la Mtakatifu Joseph Dar es Salaam wakinywa Konyagi Kanisani.
Nguvu ya Mungu haikai sehemu ya pombe.Yesu alikuja duniani kwa ajili ya wakosefu hakuja kwa ajili ya wenye kujiona wamekamilika.
Mnakunywa ili mwe hivi: ?Baada ya misa kila mtu anao uhuru wa kunywa kinachokuwepo. Wakatoliki hatuna mbwembwe za kilokole, pombe inaruhusiwa.
Kibaya ni kile kimtokacho mtu kinywani vitu mfano wa masengenyo, kiburi, ujivuni, uchonganishi, na sio kile kiingiacho mwilini.
Yesu alibadili maji yakawa mvinyo, bosi wetu sisi wakristo aliongeza pombe kwenye harusi, sasa sisi ni kina nani tusiinywe pombe hapo nje ya kanisa?.Nguvu ya Mungu haikai sehemu ya pombe.
Sawa we hutendi dhambi jipigie makofi nenda uka praise and worshipUnatetea dhambi, sheria ya Mungu huwa haina utetezi. Walevi wote, wanywa pombe, wazinzi na waesherati wanatenda dhambi wawe wakiristo au walokole wote wanatenda dhambi.
Mlokole huyo, matatizo matupu hao jamaa, huwa wanapita majumbani mwa watu na Biblia mkononi eti wanakuja kuhubiri habari njema!.Sawa we hutendi dhambi jipigie makofi nenda uka praise and worship
Wahuni kama wahuni wengineMlokole huyo, matatizo matupu hao jamaa, huwa wanapita majumbani mwa watu na Biblia mkononi eti wanakuja kuhubiri habari njema!.
Huku Mbezi Beach huwa nawatoa mkuku tu sitaki mijadala mirefu na wao.
Uliwahesabu ?Wengi hapo ni wachagga...wale walioshindwa kwenda kuhiji kwao wameamua kumalizia hasira kanisani.
Aisee nimesikitika sana, hebu nenda hata Wikipedia ujue historia halisi, Biblia ilikamilika toka miaka ya 300 kwa agizo la Papa Damasus I, na tayari ilishatafsiliwa kwa kilatini.Luther hakuwahi kua Mwandishi, BIBLIA ,kama neno la Mungu na ambalo ni Mungu mwenyewe, iliandikwa na Waandishi 40 katika vipindi tofauti tofauti.
Hata Ivo kutokuwepo Kwa teknolojia , Waandishi hao waliandila kwenye magome, vipande vya nguo, Ngozi n.k.
Hiyo ikatupeleke mpaka mwaka 1611, Kwa Amri ya Mfalme James kwanza, kua MAANDIKO hayo matakatifu yaprintiwe Upya .
Ndipo Biblia ikatafasiriwa kutoka Lugha za Waandishi na kuletwa Kwa Lugha ya Kingereza ( ambacho ndicho kiingereza Asilia ,achana na hiki Cha Sasa ) na Kisha maandiko haya matakatifu yanaprintiwa mwaka 1611 kusanyiko hili JIPYA la maandiko matakatifu Kwa Lugha ya Kiingereza likaitwa KING JAMES !!.
Luther ? Luther hakuwahi kuandika Maandiko, In fact Luther baada ya kusoma sana maandiko, akaja Kusoma na hayo mavitabu ya kimapokeo yaloandikwa na Roman Catholic wenyewe.
Akaja kuhitimisha kua MAANDIKO PEKEE YA MUNGU NI VITABU VILEEEE 66 , NA KWA KUYAKATAA MAPOKEO YA RC, AKAAMUA KUJITENGA NA KANISA HILO.
Biashara uko uko lkn hakuna katika uislamu.Dini ni biashara.
Ukiingizwa kwenye hiyo biashara lazima uchanganyikiwe, unakuwa mtu wa kupanic panic muda wote.
Biblia yote ni mapokeo. Hujui chochote juu ya mapokeo ya idadi ya vitabu kutofautiana Canonization. Aisee haya mambo Yana historia yake kuyaona unavyo yaona si kwamba yalishuka toka mbinguni hivyo. "Faith and Reson" zingatiaHahahah Biblia ya Wakatoliki, Ina vitabu 72 😂😂 utasikia Sira, Sijui nani nani, vitabu vya kininadam vyenye Maneno yaloandikwa yoyote na WANADAM.
Biblia ya Mungu Ina vitabu 66 tu.
Imani na akili vinaenda pamoja. Hapa umeacha akili kandoHata ibada zao zinatumia kiswahili tofauti
Ukiingia muumini mwingine unaweza kutoka kapa
- Kitubio
- Mafungo
- Komunyio (kuna makabila hilo ni jina la sehemu ya mwili)
- Dominika
- Homilia
- Komunika
1. Je Divai ni Pombe?Mkuu divai ni nini,?
1. Je Divai ni Pombe?Mkuu divai ni nini,?
UnadungwaImani na akili vinaenda pamoja. Hapa umeacha akili kando
Hata wewe YESU KRISTO atakugeuza siku si nyingi utaanza kumwabudu. AMINAMlokole huyo, matatizo matupu hao jamaa, huwa wanapita majumbani mwa watu na Biblia mkononi eti wanakuja kuhubiri habari njema!.
Huku Mbezi Beach huwa nawatoa mkuku tu sitaki mijadala mirefu na wao.
Biblia pia ni MapokeoHabari zote za Nuhu nimetoa kwenye biblia. Habari kamili za ukatoliki zipo kwenye vitabu na maandiko ya kikatoliki, kwa kuwa ukatoliki umejengwa katika maandiko tofauti tofauti, na sio lazima yawe maandiko ya kibiblia. Msingi mkuu wa ukatoliki upo kwenye mapokeo (matamko, maagizo, matangazo, mafundisho ya wakuu wa kanisa katoliki kule Italy)