Luther hakuwahi kua Mwandishi, BIBLIA ,kama neno la Mungu na ambalo ni Mungu mwenyewe, iliandikwa na Waandishi 40 katika vipindi tofauti tofauti.
Hata Ivo kutokuwepo Kwa teknolojia , Waandishi hao waliandila kwenye magome, vipande vya nguo, Ngozi n.k.
Hiyo ikatupeleke mpaka mwaka 1611, Kwa Amri ya Mfalme James kwanza, kua MAANDIKO hayo matakatifu yaprintiwe Upya .
Ndipo Biblia ikatafasiriwa kutoka Lugha za Waandishi na kuletwa Kwa Lugha ya Kingereza ( ambacho ndicho kiingereza Asilia ,achana na hiki Cha Sasa ) na Kisha maandiko haya matakatifu yanaprintiwa mwaka 1611 kusanyiko hili JIPYA la maandiko matakatifu Kwa Lugha ya Kiingereza likaitwa KING JAMES !!.
Luther ? Luther hakuwahi kuandika Maandiko, In fact Luther baada ya kusoma sana maandiko, akaja Kusoma na hayo mavitabu ya kimapokeo yaloandikwa na Roman Catholic wenyewe.
Akaja kuhitimisha kua MAANDIKO PEKEE YA MUNGU NI VITABU VILEEEE 66 , NA KWA KUYAKATAA MAPOKEO YA RC, AKAAMUA KUJITENGA NA KANISA HILO.