Steven Joel Ntamusano
JF-Expert Member
- Jun 17, 2023
- 5,203
- 3,913
Pombe ni chakula, waache wenye kuhangaika na maisha wainywe wapoteze mawazo.Waefeso 5:17-18
[17]Kwa sababu hiyo msiwe wajinga, bali mfahamu ni nini yaliyo mapenzi ya Bwana.
[18]Tena msilewe kwa mvinyo, ambamo mna ufisadi; bali mjazwe Roho;
;
Mwamposa Hana ushamba huoKwani kuna shida yoyote. Kanisa moja Takatifu la mitume Hadi kitimoto tunakula madhabahauni. Vinyo ni sehemu ya ibada Acha ushamba wako wa Kwa mwamposa
Umenena vema πWakipata elimu ndogo tu za masuala ya Biblia wanahisi wamemaliza kila kitu, wakatoliki ni waungwana ni watu wa kujishusha huwa hatupendi kujibizana kwani ni kuendeleza roho ya uasi ambayo inawasumbua karne na karne.
Hakuna wa kukuzuia kunywa soda zako, waachie wanywa pombe waendelee na maisha yao.Neno la Mungu lipo wazi
Sikiliza neno lake
Acha kuangalua padri anasema nini
Ama sijui mtume na nabii wako?
Mlevi hana mahali kwenye ufalme wa Mungu ilo ni neno la mungu na litadumu milele.
Mbingu na nchi zitapita
Ila sio neno lake
Mkristo hawezi kamwe kunywa pombe.
Hata aambiwe na papa.
Hivi nyinyi mnaojiita wakristo ninani aliyewaroga
Mnaangamizwa kwakutokulishika neno lake mnaedai kumuamini.
Nawaambia tanzania nzima kunaweza kukawa na wakristo 8 tuu halisii.
Mungu hana kundi kubwa hajawahi kuwa na kundi kubwa
Pole sana mkuu.Jamani kuikwepa jehanam si kazi rahisi hivyo mnavyodhania.
UKRISTO INAMAANISHA KUWA KINYUME NA ULIMWENGU MZIMA UNAVYOENDA
Kama ilivyokuwa kwa yesu,mitume,yohana,eliya,musa,paulo,elisha,daniel wooote hao.
Dunia hii yoote inalalia upande wa ibilisi.
Uwezo mkubwa wa nguvu za ibilisi kwa sasa ni KUIGIZA UKRISTO ,NA KUWAFANYA WEENGI WAIGIZAJI WA UKRISTO
Tumewazoea hawa wapiga kelele wa kwenye vituo vya mabasi, kuusema ukatoliki kwao ni kama tiketi ya kwenda Mbinguni.Hapa tayari wenye imani zao washauanza mwaka kwa kukejeliwa ..
Kule Kwa PK (Rwanda) bila shahada ya theolojia hutakaa uhubiri utapigwa πTumewazoea hawa wapiga kelele wa kwenye vituo vya mabasi, kuusema ukatoliki kwao ni kama tiketi ya kwenda Mbinguni.
Kule Mwamposya angeshatafuta shughuli nyingine ya kufanya tena muda mrefu tu uliopita.Kule Kwa PK (Rwanda) bila shahada ya theolojia hutakaa uhubiri utapigwa π
Ahahahahaha!!!Levi linaachwa ana laaniwa mtoto , vitu vingine ni vichekesho
Hivi mkuu Unajua peponi kwa mujibu wa waislamu kutakuwa na mito ya pombe?View attachment 3189715
Gazeti la Mwananchi limeonyesha kabisa Waamini wa Kanisa la Mtakatifu Joseph Dar es Salaam wakinywa Konyagi Kanisani.
Hali ambayo wengi ninaozungumza nao wanajikuta wamo nayo ni hali ile ile ambayo mafarisayo na masadukayo walikuwa wanajisikia.Pole sana mkuu.
πππππView attachment 3189715
Gazeti la Mwananchi limeonyesha kabisa Waamini wa Kanisa la Mtakatifu Joseph Dar es Salaam wakinywa Konyagi Kanisani.
Kanisa gani na limemfikisha nani katika ufalme wa Mungu?Yaan hapa aibu ni Kwa Gazeti alitoa taarifa au Kanisan??
Roman Catholic halijawahi kua Kanisa la kumfikisha mwanadamu katika Ufalme wa Baba Mungu .