Baadhi ya Waumini wa Kanisa Katoliki waonekana wakinywa Konyagi nje ya Kanisa la Mt. Joseph

Baadhi ya Waumini wa Kanisa Katoliki waonekana wakinywa Konyagi nje ya Kanisa la Mt. Joseph

Waefeso 5:17-18
[17]Kwa sababu hiyo msiwe wajinga, bali mfahamu ni nini yaliyo mapenzi ya Bwana.

[18]Tena msilewe kwa mvinyo, ambamo mna ufisadi; bali mjazwe Roho;
;
Pombe ni chakula, waache wenye kuhangaika na maisha wainywe wapoteze mawazo.
 
Neno la Mungu lipo wazi
Sikiliza neno lake
Acha kuangalua padri anasema nini
Ama sijui mtume na nabii wako?
Mlevi hana mahali kwenye ufalme wa Mungu ilo ni neno la mungu na litadumu milele.
Mbingu na nchi zitapita
Ila sio neno lake

Mkristo hawezi kamwe kunywa pombe.
Hata aambiwe na papa.

Hivi nyinyi mnaojiita wakristo ninani aliyewaroga
Mnaangamizwa kwakutokulishika neno lake mnaedai kumuamini.
Nawaambia tanzania nzima kunaweza kukawa na wakristo 8 tuu halisii.
Mungu hana kundi kubwa hajawahi kuwa na kundi kubwa
 
Jamani kuikwepa jehanam si kazi rahisi hivyo mnavyodhania.

UKRISTO INAMAANISHA KUWA KINYUME NA ULIMWENGU MZIMA UNAVYOENDA

Kama ilivyokuwa kwa yesu,mitume,yohana,eliya,musa,paulo,elisha,daniel wooote hao.

Dunia hii yoote inalalia upande wa ibilisi.

Uwezo mkubwa wa nguvu za ibilisi kwa sasa ni KUIGIZA UKRISTO ,NA KUWAFANYA WEENGI WAIGIZAJI WA UKRISTO
 
Hakuna wa kukuzuia kunywa soda zako, waachie wanywa pombe waendelee na maisha yao.

Padre anasomea miaka zaidi ya 10 hicho ambacho wewe unakiongelea humu ndani.

Anaisoma na kuifanyia mitihani hiyo Biblia unayochukua vifungu vyake na kuviweka humu kwenye jamvi hili.

Mkristo atakunywa pombe pale anapojisikia kadri pesa yake inavyomruhusu.
 
Jamani kuikwepa jehanam si kazi rahisi hivyo mnavyodhania.

UKRISTO INAMAANISHA KUWA KINYUME NA ULIMWENGU MZIMA UNAVYOENDA

Kama ilivyokuwa kwa yesu,mitume,yohana,eliya,musa,paulo,elisha,daniel wooote hao.

Dunia hii yoote inalalia upande wa ibilisi.

Uwezo mkubwa wa nguvu za ibilisi kwa sasa ni KUIGIZA UKRISTO ,NA KUWAFANYA WEENGI WAIGIZAJI WA UKRISTO
Pole sana mkuu.
 
Spin za kwenda ndani ya Uzi kuhalalisha ubatiri.
 
Tunagonga vyombo kama kawa ,we are Tax payers through alcohol!!!
 
Attachments

  • IMG_20250101_213257_899.jpg
    IMG_20250101_213257_899.jpg
    335.2 KB · Views: 0
Pole sana mkuu.
Hali ambayo wengi ninaozungumza nao wanajikuta wamo nayo ni hali ile ile ambayo mafarisayo na masadukayo walikuwa wanajisikia.

Wanaambiwa ukweli na wanaona huu ni ukweli kabisa.
Lakini hawawezi kamwe kuufata
Wamefungwa mpaka hawawezi kuufata,watafata kule wanaambiwa na kanisa na sio Mungu.

Tatizo ni nini??
DENOMINATIONAL SYSTEMS .

MIFUMO YA TANADUNI ILIYOWEKWA
 
Mimi nikushangae wewe kwanza. Miaka yote ulikuwa hujui kwamba Wakatoliki tunagonga tungi bila kizuizi chochote?
 
Back
Top Bottom