Zanzibar-ASP
JF-Expert Member
- Nov 28, 2013
- 11,550
- 40,697
Leta ukweli wako.Umezidisha uongo.
Asante sana kwa Reference hii.Para yako ya mwisho ndio umechemka. Pombe sio upagani. Yesu Kristu alitengeneza pombe nzuri sana kwenye Harusi ya Kana ukiwa ndio muujiza wake wa kwanza!
Mungu alimwambia Nuhu atengeneze Safina na aingiemo kwani anakwenda kuwaangamiza watenda dhambi. Nuhu pamoja na vitu vingine aliinhia Safinani na pombe akawa anagonga mdogomdogo hadi maji yalipopungua akaenda kugongea nje. Akalaaniwa mtoto aliyemchungulia na sio Nuhu aliyekuwa amegonga mvinyo!
Niendelee?
Bado una sumu moyoni.Jitahidi usiwe unachukua kila unachosimuliwa na wehu.Leta ukweli wako.
Kipi uongo?
Pombe kuruhusiwa ukatolikini?
Upagani wa kiitaliano ulioboreshwa na mapokeo ya ukristo wa kale kisha kuenezwa duniani chini ya mwamvuli wa kanisa?
Nenda kajifunze upya ukatoliki utakuja kukiri hayo hapa hapa JF.
Amina! 🙏🙏🙏🙏Asante sana kwa Reference hii.
Labda kwa kuiheshimu tu serikali, vinginevyo nayo tungegonga tuGongo?!
Muujiza wa kwanza wa Yesu ni kubadili maji kuwa mvinyo safi pale kwenye harusi ya kana.Yesu hakuwa mlevi wala mnywaji wa pombe. Acha kumsingia uongo.
makafiri bwanaa dah!
Ushaambiwa pombe/mvinyo ruksa so aibu inatoka wapi hapo???View attachment 3189715
Gazeti la Mwananchi limeonyesha kwa makusudi kabisa Waamini Wakatoliki wa Kanisa la Mtakatifu Joseph Dar es Salaam wakinywa Konyagi Kanisani.
Mathayo 11:18-19Yesu hakuwa mlevi wala mnywaji wa pombe. Acha kumsingia uongo.
kwan unateseka!? kunywa na wewe juisi yako tu achana na maisha ya watu!View attachment 3189715
Gazeti la Mwananchi limeonyesha kwa makusudi kabisa Waamini Wakatoliki wa Kanisa la Mtakatifu Joseph Dar es Salaam wakinywa Konyagi Kanisani.
Na Nuhu alilewa lakini aliyelaniwa ni Mtoto wake Hamu kwa kumchungulia na siye aliyelewa.Muujiza wa kwanza wa Yesu ni kubadili maji kuwa mvinyo safi pale kwenye harusi ya kana.
Wamefanya vizuri, kwaajili ya kulitengeneza kanisaView attachment 3189715
Gazeti la Mwananchi limeonyesha kwa makusudi kabisa Waamini Wakatoliki wa Kanisa la Mtakatifu Joseph Dar es Salaam wakinywa Konyagi Kanisani.
Hapo ni nje ya kanisa, na wewe kajiunge tuuView attachment 3189715
Gazeti la Mwananchi limeonyesha kwa makusudi kabisa Waamini Wakatoliki wa Kanisa la Mtakatifu Joseph Dar es Salaam wakinywa Konyagi Kanisani.
Na atakunywa kwenye ufalme wa mileleS WAMERUSIWA JAMANI KWANI KUNA SHIDO? YESU NAE SI ALIKUNYWA
Hivi unajua nuhu alizaliwa na aliishi katika tamaduni za kibagani japokuwa alisikia sauti ya Mungu ikimwambia atengeneze Safina na akatii? Hata unywaji wa pombe wa Nuhu haukuwa mpango wa Mungu na mwisho wa siku ulizaa aibu, laana na utukufu kwa shetani. Mungu hawezi kuruhusu jambo lenye kuzaa uovu katika maisha ya watu.Para yako ya mwisho ndio umechemka. Pombe sio upagani. Yesu Kristu alitengeneza pombe nzuri sana kwenye Harusi ya Kana ukiwa ndio muujiza wake wa kwanza!