Baadhi ya Waumini wa Kanisa Katoliki waonekana wakinywa Konyagi nje ya Kanisa la Mt. Joseph

Baadhi ya Waumini wa Kanisa Katoliki waonekana wakinywa Konyagi nje ya Kanisa la Mt. Joseph

Para yako ya mwisho ndio umechemka. Pombe sio upagani. Yesu Kristu alitengeneza pombe nzuri sana kwenye Harusi ya Kana ukiwa ndio muujiza wake wa kwanza!

Mungu alimwambia Nuhu atengeneze Safina na aingiemo kwani anakwenda kuwaangamiza watenda dhambi. Nuhu pamoja na vitu vingine aliinhia Safinani na pombe akawa anagonga mdogomdogo hadi maji yalipopungua akaenda kugongea nje. Akalaaniwa mtoto aliyemchungulia na sio Nuhu aliyekuwa amegonga mvinyo!

Niendelee?
Asante sana kwa Reference hii.
 
Leta ukweli wako.
Kipi uongo?
Pombe kuruhusiwa ukatolikini?
Upagani wa kiitaliano ulioboreshwa na mapokeo ya ukristo wa kale kisha kuenezwa duniani chini ya mwamvuli wa kanisa?

Nenda kajifunze upya ukatoliki utakuja kukiri hayo hapa hapa JF.
Bado una sumu moyoni.Jitahidi usiwe unachukua kila unachosimuliwa na wehu.
 
Ukatoliki pombe kitimoto sio dhambi infact wao wameamua kuzianzia hapa hapa duniani.

Hushangai ukobazini wao wameambiwa kuenjoy utamu wa kitimoto,pombe na kulombana wasubiri mpaka wafe huku jehanamu yao ni mwendo wa kuombana,kunywa kila aina ya pombe hadi mito itairirika pombe plus kitimoto kama kitoweo kikuu.

Mungu ibariki Israel
 
makafiri bwanaa dah!
IMG-20250101-WA0013.jpg
 
Yesu hakuwa mlevi wala mnywaji wa pombe. Acha kumsingia uongo.
Mathayo 11:18-19
18 Maana Yohana alikuja, hali wala hanywi, wakasema, Yuna pepo
19 Mwana wa Adamu alikuja, akila na kunywa, wakasema, Mlafi huyu, na mlevi, rafiki yao watoza ushuru na wenye dhambi! Na hekima imejulikana kuwa ina haki kwa kazi zake.
 
Para yako ya mwisho ndio umechemka. Pombe sio upagani. Yesu Kristu alitengeneza pombe nzuri sana kwenye Harusi ya Kana ukiwa ndio muujiza wake wa kwanza!

Mungu alimwambia Nuhu atengeneze Safina na aingiemo kwani anakwenda kuwaangamiza watenda dhambi. Nuhu pamoja na vitu vingine aliinhia Safinani na pombe akawa anagonga mdogomdogo hadi maji yalipopungua akaenda kugongea nje. Akalaaniwa mtoto aliyemchungulia na sio Nuhu aliyekuwa amegonga mvinyo!

Niendelee?
Hivi unajua nuhu alizaliwa na aliishi katika tamaduni za kibagani japokuwa alisikia sauti ya Mungu ikimwambia atengeneze Safina na akatii? Hata unywaji wa pombe wa Nuhu haukuwa mpango wa Mungu na mwisho wa siku ulizaa aibu, laana na utukufu kwa shetani. Mungu hawezi kuruhusu jambo lenye kuzaa uovu katika maisha ya watu.

Kitamaduni za kiitaliano na ibada zao za kibagani zinaruhusu unywaji wa pombe popote pale, Ukristo wa kale ulipotua Italy uliingizwa katika falme zao na kuboreshwa ili kuweza kuchangamana na tamaduni za kibagani za kiitaliano na kutokea hapo ukaenezwa duniani kwa mwamvuli wa kanisa. Leo hii ndio tunauita ukatoliki.

Ukristo halisi na unywaji wa pombe wapi na wapi?
Yesu alibadilisha maji na kuwa divai (kinywaji) na sio divai (Pombe). Kwanini? Huwezi ukabadilisha maji yakawa pombe kwenye sherehe, halafu watu wote wakanywa mpaka kutosheka halafu hapo hapo tukio hilo limrudishie Mungu utukufu. Unywaji wowote wa pombe vya kutosha huzaa aibu, upotofu na utukufu wa shetani.
 
Back
Top Bottom