Zanzibar-ASP
JF-Expert Member
- Nov 28, 2013
- 11,550
- 40,697
Nuhu akiwa mpagani alisikia sauti ya Mungu ya kutengeneza Safina, mwamba akatii kutengeneza na kuingia huko. Hilo ni jambo moja.Kwa hiyo alikunywa mvinyo akiwa mpagani au baada ya kusikia sauti ya Mungu na kutii?
Uliandika ukiwa umelewa au maana si kwakuchapia huku.Huyo mwandishi kilaza kweli kweli. Anachikuwa mafundidho anayodanganywa kwenye dini yake anadhani wakatoliki wapo hivyo?
Toka enzi na enzi pombe kwa mkatoliki ni sehemu ya chakula na lazima skibariki kala jajanywa kama chakula kingine. Iwe kanisani au sehemu yoyote kwenye sherehe. za wakatoliki pombe ni kiungo muhimu na hata kitimoto ( nguruwe) ndio nyama Yao pendwa na kubatilisha uongo unaohubiriwa na eahubiri uchwara kuwa ulinuwa pombe su Kila kiti moto utakuga haraka, hutakuwa na maendeleo, hitayenda mema nk .lakini kinyume chake makabila wanaokunywa pombe na Kila kitimoto wanaishije umri mrefu na Wana maendeleo makubwa na wanatenda mema Sana na hao wanaojifanya kuwa pombe na kitimoto ni dhambi wanawazunguka kueaomba msaada
Nuhu akiwa mpagani alisikia sauti ya Mungu ya kutengeneza Safina, mwamba akatii kutengeneza na kuingia huko. Hilo ni jambo moja.Kwa hiyo alikunywa mvinyo akiwa mpagani au baada ya kusikia sauti ya Mungu na kutii?
Divai ni zabibu iliyokamuliwa.Mkuu divai ni nini,?
Hilo nimeshalijibu.cyo kweli!!ukisoma maandiko matakatifu Yesu kristo muujiza wa kwanza kufanya n kubadili maji kuwa pombe,,,rejea harusi ya kana!!
Kama hufahamu bora kukaa kimyaKwa wakatoliki unywaji wa pombe yoyote (hata gongo!) sio dhambi. Na wakatoliki wanajivunia kunywa pombe popote ikiwemo hata kanisani, wao wanasema wanakunywa kistaarabu.
Pale ukatolikini hakuna ukristo halisi, ni upagani wa Kiitaliano ulioboreshwa kwa tamaduni zilizoupokea ukristo wa kale na kuueneza duniani chini ya mwamvuli wa kanisa.
Kiasi ni kipi mkuu,mf.Kilimanjaro premium lager ya baridi ndogo unatakiwa unywe ngapi ndio iwe kiasi...?Logically:
- Ulafi (kula kupita kiasi) ni dhambi. Kwahiyo watu waache kula maana kula hakuna kiasi?
- Kuendesha gari bila kiasi kunasababisha ajali. Kwa hiyo watu waache kuendesha gari?
Too much of anything is harmful. Jifunze kuwa na kiasi kwa kila kitu.
Shida wasabato wengi ni wanafiki wanajifanya ni watakatifu ila ukichunguza behind the scene wengi wanamakandokando yao kama ulevi na uzinzi.Haaa bwasheee, YESU ndio Njia ,Kweli na Uzima ,MTU haendi Kwa Baba Mungu bila kupita Kwa YESU.
Je wajua YESU ni MSABATO?.
KANISA LA kweli ambalo hata RC leaders wanajua ndio Kanisa la Kweli, ni SABATO
SDA.
Wewe unayefahamu tuambie sasa, Je, pombe (gongo) sio halali kwa mkatoliki?Kama hufahamu bora kukaa kimya
wasabato hawana akili timamu, mahubiri yote kuiongelea Catholic,Hahahah Biblia ya Wakatoliki, Ina vitabu 72 😂😂 utasikia Sira, Sijui nani nani, vitabu vya kininadam vyenye Maneno yaloandikwa yoyote na WANADAM.
Biblia ya Mungu Ina vitabu 66 tu.
Acha hasira, jenga hoja au pinga hoja.Watu ni wajinga na wanakuwa wajinga zaidi wakiwa na kitu kinachoitwa imani,yes nasema ni wajinga kwa sababu mtu anayeshadadia kumdhihaki mwenzake mlevi ndiye huyo huyo hukaa uchi faragha na mwanamke akizini.
Akiiba mali za watu,akisengenya,mtu anasema Catholic siyo pa kumfikisha mtu kwa Mungu who are you people?wewe lini ukaenda kwa Mungu ukakuta watu wa Kanisani kwako au Msikitini kwako ndiyo wamefika?ujinga tu kuna asiyekuwa na dhambi hapa,kuwa na dhambi za kificho hakukufanyi uwe msafi.
Umesema vyema.Watu ni wajinga na wanakuwa wajinga zaidi wakiwa na kitu kinachoitwa imani,yes nasema ni wajinga kwa sababu mtu anayeshadadia kumdhihaki mwenzake mlevi ndiye huyo huyo hukaa uchi faragha na mwanamke akizini.
Akiiba mali za watu,akisengenya,mtu anasema Catholic siyo pa kumfikisha mtu kwa Mungu who are you people?wewe lini ukaenda kwa Mungu ukakuta watu wa Kanisani kwako au Msikitini kwako ndiyo wamefika?ujinga tu kuna asiyekuwa na dhambi hapa,kuwa na dhambi za kificho hakukufanyi uwe msafi.
Unashangaa konyagi kunywewa kanisani? Hilo kanisa mapadre wanafira watoto kanisani.View attachment 3189715
Gazeti la Mwananchi limeonyesha kabisa Waamini wa Kanisa la Mtakatifu Joseph Dar es Salaam wakinywa Konyagi Kanisani.
Hapo unakosea.Umesema vyema.
Mi naamini Mungu yupo ila sifagilii dini yeyote. Kila mtu anamaisha yake so ukiona mtu anafanya dhambi mwache ndo maisha aliyoyachagua kwani mwishowe kila mtu atahukumiwa kivyake.
Siyo jambo la kujivunia lakini wewe au mimi niaewalaani tuna usafi gani?Acha hasira, jenga hoja au pinga hoja.
Hoja hapa ni gazeti la mwananchi kuonyesha waumini wa kanisa katoliki wakinywa 'gongo' ndani ya viunga vya kanisa kwenye mkesha wa mwaka mpya.
Hii imekaaje kwako?
Ni jambo la kujivunia au kulaaniwa?