Baadhi ya Waumini wa Kanisa Katoliki waonekana wakinywa Konyagi nje ya Kanisa la Mt. Joseph

Baadhi ya Waumini wa Kanisa Katoliki waonekana wakinywa Konyagi nje ya Kanisa la Mt. Joseph

Kwa hiyo alikunywa mvinyo akiwa mpagani au baada ya kusikia sauti ya Mungu na kutii?
Nuhu akiwa mpagani alisikia sauti ya Mungu ya kutengeneza Safina, mwamba akatii kutengeneza na kuingia huko. Hilo ni jambo moja.

Baadaye akasakamia pombe (hii ilikuwa tamaa yake, na sio Mungu alimtuma kufanya hivyo) akalewa na akaishia kupata aibu kuu. Hapa ilikuwa ni utii wa shetani.

Kifupi tu, Mungu au shetani anaweza kumshawishi mtu yoyote (mpagani au muumini) kufanya jambo fulani katika wakati fulani, uamuzi unabakia kwa mhusika.
 
DIVAI/MVINYO MPYA (new wine/fresh)=divai njema, ni divai just iliyotoka kutengenezwa at very muda huo huo mpya ambayo sukari yake haijaachwa/hajaruhusiwa ichachuke/haija chacha non-fermanted.(non -alcohol) =fresh grape juice.

Kuingiza kuruhusu Matumizi ya POMBE divai/mvinyo uliochacha chachuka (fermanted)=alcohol ni Moja ya mila za jadi za tamaduni za kipagani za KIRUMI zazilizoingizwa RC kanisani, ambazo waumini wa RC walioziona mwanzo na kuzipinga/kuzikataa wakaamua kujitenga mbali na dhambi hizo waliitwa wapinzani protestants..akiwemo Martin Luther.
 
Huyo mwandishi kilaza kweli kweli. Anachikuwa mafundidho anayodanganywa kwenye dini yake anadhani wakatoliki wapo hivyo?

Toka enzi na enzi pombe kwa mkatoliki ni sehemu ya chakula na lazima skibariki kala jajanywa kama chakula kingine. Iwe kanisani au sehemu yoyote kwenye sherehe. za wakatoliki pombe ni kiungo muhimu na hata kitimoto ( nguruwe) ndio nyama Yao pendwa na kubatilisha uongo unaohubiriwa na eahubiri uchwara kuwa ulinuwa pombe su Kila kiti moto utakuga haraka, hutakuwa na maendeleo, hitayenda mema nk .lakini kinyume chake makabila wanaokunywa pombe na Kila kitimoto wanaishije umri mrefu na Wana maendeleo makubwa na wanatenda mema Sana na hao wanaojifanya kuwa pombe na kitimoto ni dhambi wanawazunguka kueaomba msaada
Uliandika ukiwa umelewa au maana si kwakuchapia huku.
 
Nimeanza kunywa pombe na paroki wangu nikiwa form two tu Nilipofika form3 nikachaguliwa kuwa mwenyekiti wa TYCS Hapo Sasa paroko alikuwa akija shuleni kuleta misa tunakunywa nae Mimi na mwalimu wangu na katekista wetu.

Pombe ilikuwa lazima iwepo heri mahitaji mengine yakosekane lakini sio pombe.

Basi Kwa namna unavyoona wewe kama unaona ni dhambi ama wewe ni ndiye Mungu unaetoa hukumu basi tuchome moto. Mungu Kila alichokiumba alikiona ni chema sana sasa wewe na utapia mlo wako kinakuuma Nini?
 
Kwa hiyo alikunywa mvinyo akiwa mpagani au baada ya kusikia sauti ya Mungu na kutii?
Nuhu akiwa mpagani alisikia sauti ya Mungu ya kutengeneza Safina, mwamba akatii kutengeneza na kuingia huko. Hilo ni jambo moja.

Baadaye akasakamia pombe (hii ilikuwa tamaa yake, na sio Mungu alimtuma kufanya hivyo) akalewa na akaishia kupata aibu kuu. Hapa ilikuwa ni utii wa shetani.

Kifupi tu, Mungu au shetani anaweza kumshawishi mtu yoyote (mpagani au muumini) kufanya jambo fulani katika wakati fulani, uamuzi unabakia kwa mhusika.
 
cyo kweli!!ukisoma maandiko matakatifu Yesu kristo muujiza wa kwanza kufanya n kubadili maji kuwa pombe,,,rejea harusi ya kana!!
Hilo nimeshalijibu.
Kama neno Divai kwenye muujiza wa harusi ya kana wewe umelistafiri kuwa ni pombe, hapo utakuwa umekosea sana. Kwanini? Haiwezekani Yesu afanye muujiza wa kutengeneza 'pombe' harusini, halafu watu wote wanyee mpaka watosheke (walewe?) halafu tukio hilo limrumdishie tena Mungu utukufu. Haiwezekani.
Unywaji wa pombe vilivyo unawezaje kumrudishia Mungu utukufu?
Kwa akili ya kawaida kabisa, popote pale, hata leo hii, mahali penye unywaji wa pombe ya kutosha panajaa uovu na kumpa utukufu shetani.
 
Kwa wakatoliki unywaji wa pombe yoyote (hata gongo!) sio dhambi. Na wakatoliki wanajivunia kunywa pombe popote ikiwemo hata kanisani, wao wanasema wanakunywa kistaarabu.

Pale ukatolikini hakuna ukristo halisi, ni upagani wa Kiitaliano ulioboreshwa kwa tamaduni zilizoupokea ukristo wa kale na kuueneza duniani chini ya mwamvuli wa kanisa.
Kama hufahamu bora kukaa kimya
 
Logically:
- Ulafi (kula kupita kiasi) ni dhambi. Kwahiyo watu waache kula maana kula hakuna kiasi?

- Kuendesha gari bila kiasi kunasababisha ajali. Kwa hiyo watu waache kuendesha gari?

Too much of anything is harmful. Jifunze kuwa na kiasi kwa kila kitu.
Kiasi ni kipi mkuu,mf.Kilimanjaro premium lager ya baridi ndogo unatakiwa unywe ngapi ndio iwe kiasi...?
 
Haaa bwasheee, YESU ndio Njia ,Kweli na Uzima ,MTU haendi Kwa Baba Mungu bila kupita Kwa YESU.

Je wajua YESU ni MSABATO?.

KANISA LA kweli ambalo hata RC leaders wanajua ndio Kanisa la Kweli, ni SABATO
SDA.
Shida wasabato wengi ni wanafiki wanajifanya ni watakatifu ila ukichunguza behind the scene wengi wanamakandokando yao kama ulevi na uzinzi.
Yesu pekee ndiye atakaye amua nani apate uzima wa milele. Omba sana uwe mmoja wao.
 
Watu ni wajinga na wanakuwa wajinga zaidi wakiwa na kitu kinachoitwa imani,yes nasema ni wajinga kwa sababu mtu anayeshadadia kumdhihaki mwenzake mlevi ndiye huyo huyo hukaa uchi faragha na mwanamke akizini.

Akiiba mali za watu,akisengenya,mtu anasema Catholic siyo pa kumfikisha mtu kwa Mungu who are you people?wewe lini ukaenda kwa Mungu ukakuta watu wa Kanisani kwako au Msikitini kwako ndiyo wamefika?ujinga tu kuna asiyekuwa na dhambi hapa,kuwa na dhambi za kificho hakukufanyi uwe msafi.
 
Hahahah Biblia ya Wakatoliki, Ina vitabu 72 😂😂 utasikia Sira, Sijui nani nani, vitabu vya kininadam vyenye Maneno yaloandikwa yoyote na WANADAM.

Biblia ya Mungu Ina vitabu 66 tu.
wasabato hawana akili timamu, mahubiri yote kuiongelea Catholic,

hata hiyo biblia unayoitumia vitabu vimepangwa hivyo na RC

haujui vizuri hitoria ya biblia na hivyo vitabu vimepatikanaje, haujui historia ya ukristo, upo shallow kwenye theology,

kalenda unayotumia imepangwa na papa Gregory, na imebadilika sio kama ile ilikua ikitumika mwanzo ya julius caesar au ya mwazo zaidi ya hapo, na jumamosi mnayoichukuloa specia ni matokeo tu ya kalenda hii ya gregorian na ingeweza kupangwa vyoyote vile,
 
Watu ni wajinga na wanakuwa wajinga zaidi wakiwa na kitu kinachoitwa imani,yes nasema ni wajinga kwa sababu mtu anayeshadadia kumdhihaki mwenzake mlevi ndiye huyo huyo hukaa uchi faragha na mwanamke akizini.

Akiiba mali za watu,akisengenya,mtu anasema Catholic siyo pa kumfikisha mtu kwa Mungu who are you people?wewe lini ukaenda kwa Mungu ukakuta watu wa Kanisani kwako au Msikitini kwako ndiyo wamefika?ujinga tu kuna asiyekuwa na dhambi hapa,kuwa na dhambi za kificho hakukufanyi uwe msafi.
Acha hasira, jenga hoja au pinga hoja.
Hoja hapa ni gazeti la mwananchi kuonyesha waumini wa kanisa katoliki wakinywa 'gongo' ndani ya viunga vya kanisa kwenye mkesha wa mwaka mpya.
Hii imekaaje kwako?
Ni jambo la kujivunia au kulaaniwa?
 
Umesema vyema.
Mi naamini Mungu yupo ila sifagilii dini yeyote. Kila mtu anamaisha yake so ukiona mtu anafanya dhambi mwache ndo maisha aliyoyachagua kwani mwishowe kila mtu atahukumiwa kivyake.
 
Umesema vyema.
Mi naamini Mungu yupo ila sifagilii dini yeyote. Kila mtu anamaisha yake so ukiona mtu anafanya dhambi mwache ndo maisha aliyoyachagua kwani mwishowe kila mtu atahukumiwa kivyake.
Hapo unakosea.
Kama unaamini kuna Mungu na unaamini kuna dhambi, maana yake hupaswi kukaa kimya ikiwa unaona dhambi inafanyika. Automatically utakemea tu.
 
Kama vitabu vingepangwa na RC mbona ziko Biblia mbili tofauti za vitabu 66 na 72. Nani alipanga Biblia ya vitabu 72 na nani alipanga Biblia ya vitabu 66. Pia kama wakatoliki ndiyo walipanga Biblia mbona wanaenda kinyume cha amri 10 za MUNGU zilizopo kwenye Biblia hiyo hiyo. Kwa hiyo Roman Catholic ndiyo kipimo cha dini, Imani na itikadi zote ?
 
Acha hasira, jenga hoja au pinga hoja.
Hoja hapa ni gazeti la mwananchi kuonyesha waumini wa kanisa katoliki wakinywa 'gongo' ndani ya viunga vya kanisa kwenye mkesha wa mwaka mpya.
Hii imekaaje kwako?
Ni jambo la kujivunia au kulaaniwa?
Siyo jambo la kujivunia lakini wewe au mimi niaewalaani tuna usafi gani?
 
Back
Top Bottom