Zanzibar-ASP
JF-Expert Member
- Nov 28, 2013
- 11,550
- 40,697
Nuhu akiwa mpagani alisikia sauti ya Mungu ya kutengeneza Safina, mwamba akatii kutengeneza na kuingia huko. Hilo ni jambo moja.Kwa hiyo alikunywa mvinyo akiwa mpagani au baada ya kusikia sauti ya Mungu na kutii?
Baadaye akasakamia pombe (hii ilikuwa tamaa yake, na sio Mungu alimtuma kufanya hivyo) akalewa na akaishia kupata aibu kuu. Hapa ilikuwa ni utii wa shetani.
Kifupi tu, Mungu au shetani anaweza kumshawishi mtu yoyote (mpagani au muumini) kufanya jambo fulani katika wakati fulani, uamuzi unabakia kwa mhusika.