Zanzibar-ASP
JF-Expert Member
- Nov 28, 2013
- 11,550
- 40,697
Yaani ndugu na rafiki zangu kunyweshwa gongo kanisani mimi nisiumie?Sasa wewe kinachokuuma ni nini?
Kwanini wewe unajivunia unywaji wa gongo kanisani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani ndugu na rafiki zangu kunyweshwa gongo kanisani mimi nisiumie?Sasa wewe kinachokuuma ni nini?
Waulize tu swali hiyo pombe wameinywea wapi?Unywaji wa pombe haujawahi kuwa dhambi, kama ni hivo yesu sio kunywa tu bali alitengeneza pombe tamu kuliko iliyoandaliwa pale harusini kana! Pombe tamu ni ile iliyochangamka ndio inayokimbiliwa na watumiaji kwahyo yesu alifanya muujiza wa kutengeneza pombe Kali kushinda ya mwanzo! ko tuseme yesu alifanya dhambi
Kama vitabu vingepangwa na RC mbona ziko Biblia mbili tofauti za vitabu 66 na 72. Nani alipanga Biblia ya vitabu 72 na nani alipanga Biblia ya vitabu 66. Pia kama wakatoliki ndiyo walipanga Biblia mbona wanaenda kinyume cha amri 10 za MUNGU zilizopo kwenye Biblia hiyo hiyo. Kwa hiyo Roman Catholic ndiyo kipimo cha dini, Imani na itikadi zote ?
Mkuu!Nimeona nikasikitika Sana kwa Kweli hapa Kanisan Wamekosea Mnoo kwenye Ukweli Usemwe. Nyumba za Mungu siyo Vijiwe maana hata Maofisini Panaheshimika huwezi kwenda na Mvinyo au Kasichana a.k.a Nyagi na ndo maana event zinafanyiwe nje ya Ofisi Lakini kwa Hilo la Kufanya Karamu ya Pombe tena mbele ya Nyumba ya Ibada ni LAANA kwa aliyeandaa
Happy Year 2025
🎊
Kwani wamevunja sheria za nchi?View attachment 3189715
Gazeti la Mwananchi limeonyesha kabisa Waamini wa Kanisa la Mtakatifu Joseph Dar es Salaam wakinywa Konyagi Kanisani.
Kuna kitu hujui au unataka kubisha.Unanifanya nikuone hii issue umeichukulia so personal,unaposisitiza kwamba “wamekunywa pombe kanisani” unaijua mipaka ya Kanisa kati ya jengo la Kanisa na eneo la Kanisa?
Wewe ukiitizama hiyo video umeona hizo unazoita pombe wakinywea ndani ya jengo la Kanisa?
Hata Yesu aliandaa kalamuSioni chaajabu kwa sisi wakatoliki kunywa ni sehemu ya Ibada. Tena ngoja nimpigie father materu nikachukuwe Lita 5 yangu ya mvinyo uliotoka cicilly kwaajili ya kuukaribisha mwaka mpya hii Leo.
Na alikunywa na wanafunzi wakeHata Yesu aliandaa kalamu
Divai(wine) ni pombe ya zabibu. Zabibu iliyokamuliwa tu bila kuchachuka inaitwa juice ya zabibu(grape juice).Divai ni zabibu iliyokamuliwa.
Yesu hakutengeneza pombe kwakuwa divai ikitengenezwa papohapo haileweshi labda itunzwe kwa muda kidogo.(Ili fermentation itokee)Unywaji wa pombe haujawahi kuwa dhambi, kama ni hivo yesu sio kunywa tu bali alitengeneza pombe tamu kuliko iliyoandaliwa pale harusini kana! Pombe tamu ni ile iliyochangamka ndio inayokimbiliwa na watumiaji kwahyo yesu alifanya muujiza wa kutengeneza pombe Kali kushinda ya mwanzo! ko tuseme yesu alifanya dhambi
Dah!!!imewekwa wakfu kikatoliki, hivyo shughuli zozote halali za kanisa zinaweza kufanyika (na hufanyika mara kwa mara) ikiwemo ibada ya kupokea ekaristi takatifu, sembuse kunywa pombe.
Pili, Pombe (gongo) hata kwenye madhabahau ya kanisa katoliki inaweza kuombewa na kunywewa, ni kinywaji halali kikatoliki.
Anzia hapo.
Yes watu wa Mungu wale gambeNa alikunywa na wanafunzi wake
Yesu kwenye karamu zake zote vitu viwli vilikuwa must ni pombe(wine) na mikate (ngano) kumbuka na karamu ilikuwa ni sehemu ya ibada! na ibada haikuwa lazima iwe sehemu maalumu kama hv Leo! em someni biblia bhana! msituchoshee au njoo pm nikupe dondooWaulize tu swali hiyo pombe wameinywea wapi?
Ndani ya Kanisa (kama nyumba ya Ibada) au nje ya Kanisa (eneo la parking) ambapo yeyote anafanya anachokitaka?
Kizuri zaidi hakuna Padre wala Askofu ambaye amekataza waumini kunywaKuna kitu hujui au unataka kubisha.
Kwa kifupi tu, fahamu haya.
Eneo lote kuzunguka viunga vya jengo la kanisa katoliki ni sehemu ya kanisa, imewekwa wakfu kikatoliki, hivyo shughuli zozote halali za kanisa zinaweza kufanyika (na hufanyika mara kwa mara) ikiwemo ibada ya kupokea ekaristi takatifu, sembuse kunywa pombe.
Pili, Pombe (gongo) hata kwenye madhabahau ya kanisa katoliki inaweza kuombewa na kunywewa, ni kinywaji halali kikatoliki.
Anzia hapo.
Yes watu wale gambeYesu kwenye karamu zake zote vitu viwli vilikuwa must ni pombe(wine) na mikate (ngano) kumbuka na karamu ilikuwa ni sehemu ya ibada! na ibada haikuwa lazima iwe sehemu maalumu kama hv Leo! em someni biblia bhana! msituchoshee au njoo pm nikupe dondoo
Hakuna jipya,wangeongeza na kiti moto kabisaView attachment 3189715
Gazeti la Mwananchi limeonyesha kabisa Waamini wa Kanisa la Mtakatifu Joseph Dar es Salaam wakinywa Konyagi Kanisani.