Baadhi ya Waumini wa Kanisa Katoliki waonekana wakinywa Konyagi nje ya Kanisa la Mt. Joseph

Nimeona nikasikitika Sana kwa Kweli hapa Kanisan Wamekosea Mnoo kwenye Ukweli Usemwe. Nyumba za Mungu siyo Vijiwe maana hata Maofisini Panaheshimika huwezi kwenda na Mvinyo au Kasichana a.k.a Nyagi na ndo maana event zinafanyiwe nje ya Ofisi Lakini kwa Hilo la Kufanya Karamu ya Pombe tena mbele ya Nyumba ya Ibada ni LAANA kwa aliyeandaa

Happy Year 2025
🎊
 
Unywaji wa pombe haujawahi kuwa dhambi, kama ni hivo yesu sio kunywa tu bali alitengeneza pombe tamu kuliko iliyoandaliwa pale harusini kana! Pombe tamu ni ile iliyochangamka ndio inayokimbiliwa na watumiaji kwahyo yesu alifanya muujiza wa kutengeneza pombe Kali kushinda ya mwanzo! ko tuseme yesu alifanya dhambi
Waulize tu swali hiyo pombe wameinywea wapi?

Ndani ya Kanisa (kama nyumba ya Ibada) au nje ya Kanisa (eneo la parking) ambapo yeyote anafanya anachokitaka?
 
Kama vitabu vingepangwa na RC mbona ziko Biblia mbili tofauti za vitabu 66 na 72. Nani alipanga Biblia ya vitabu 72 na nani alipanga Biblia ya vitabu 66. Pia kama wakatoliki ndiyo walipanga Biblia mbona wanaenda kinyume cha amri 10 za MUNGU zilizopo kwenye Biblia hiyo hiyo. Kwa hiyo Roman Catholic ndiyo kipimo cha dini, Imani na itikadi zote ?
 
Attachments

  • images - 2025-01-01T110945.394.jpeg
    images - 2025-01-01T110945.394.jpeg
    28.4 KB · Views: 1
  • images - 2025-01-01T111217.089.jpeg
    images - 2025-01-01T111217.089.jpeg
    52.4 KB · Views: 2
  • images - 2025-01-01T111821.657.jpeg
    images - 2025-01-01T111821.657.jpeg
    38.9 KB · Views: 1
  • images - 2025-01-01T111756.337.jpeg
    images - 2025-01-01T111756.337.jpeg
    37.2 KB · Views: 1
  • images - 2025-01-01T111217.089.jpeg
    images - 2025-01-01T111217.089.jpeg
    52.4 KB · Views: 1
Nimeona nikasikitika Sana kwa Kweli hapa Kanisan Wamekosea Mnoo kwenye Ukweli Usemwe. Nyumba za Mungu siyo Vijiwe maana hata Maofisini Panaheshimika huwezi kwenda na Mvinyo au Kasichana a.k.a Nyagi na ndo maana event zinafanyiwe nje ya Ofisi Lakini kwa Hilo la Kufanya Karamu ya Pombe tena mbele ya Nyumba ya Ibada ni LAANA kwa aliyeandaa

Happy Year 2025
🎊
Mkuu!

Itizame video vizuri umeona mtu akinywa pombe ndani ya Kanisa?jengo kabisa la Kanisa watu wakinywa pombe ndiyo video inachoonyesha?hapo ni nje ya jengo la Kanisa sehemu ambayo kuna wakati zinafanyika pia shughuli za kijamii tatizo watu wasiojua waandika vitu vya hovyo.
 
Unanifanya nikuone hii issue umeichukulia so personal,unaposisitiza kwamba “wamekunywa pombe kanisani” unaijua mipaka ya Kanisa kati ya jengo la Kanisa na eneo la Kanisa?

Wewe ukiitizama hiyo video umeona hizo unazoita pombe wakinywea ndani ya jengo la Kanisa?
Kuna kitu hujui au unataka kubisha.
Kwa kifupi tu, fahamu haya.
Eneo lote kuzunguka viunga vya jengo la kanisa katoliki ni sehemu ya kanisa, imewekwa wakfu kikatoliki, hivyo shughuli zozote halali za kanisa zinaweza kufanyika (na hufanyika mara kwa mara) ikiwemo ibada ya kupokea ekaristi takatifu, sembuse kunywa pombe.

Pili, Pombe (gongo) hata kwenye madhabahau ya kanisa katoliki inaweza kuombewa na kunywewa, ni kinywaji halali kikatoliki.

Anzia hapo.
 
Unywaji wa pombe haujawahi kuwa dhambi, kama ni hivo yesu sio kunywa tu bali alitengeneza pombe tamu kuliko iliyoandaliwa pale harusini kana! Pombe tamu ni ile iliyochangamka ndio inayokimbiliwa na watumiaji kwahyo yesu alifanya muujiza wa kutengeneza pombe Kali kushinda ya mwanzo! ko tuseme yesu alifanya dhambi
Yesu hakutengeneza pombe kwakuwa divai ikitengenezwa papohapo haileweshi labda itunzwe kwa muda kidogo.(Ili fermentation itokee)
Na divai ikiwa tamu siyo kama ni kali inategemea na muda iliyohifadhiwa.
Search kitu kinaitwa "fermentation".
 
imewekwa wakfu kikatoliki, hivyo shughuli zozote halali za kanisa zinaweza kufanyika (na hufanyika mara kwa mara) ikiwemo ibada ya kupokea ekaristi takatifu, sembuse kunywa pombe.

Pili, Pombe (gongo) hata kwenye madhabahau ya kanisa katoliki inaweza kuombewa na kunywewa, ni kinywaji halali kikatoliki.

Anzia hapo.
Dah!!!

Uwe na siku njema mzee point tatu beba wewe 🤝🏾
 
Waulize tu swali hiyo pombe wameinywea wapi?

Ndani ya Kanisa (kama nyumba ya Ibada) au nje ya Kanisa (eneo la parking) ambapo yeyote anafanya anachokitaka?
Yesu kwenye karamu zake zote vitu viwli vilikuwa must ni pombe(wine) na mikate (ngano) kumbuka na karamu ilikuwa ni sehemu ya ibada! na ibada haikuwa lazima iwe sehemu maalumu kama hv Leo! em someni biblia bhana! msituchoshee au njoo pm nikupe dondoo
 
Kuna kitu hujui au unataka kubisha.
Kwa kifupi tu, fahamu haya.
Eneo lote kuzunguka viunga vya jengo la kanisa katoliki ni sehemu ya kanisa, imewekwa wakfu kikatoliki, hivyo shughuli zozote halali za kanisa zinaweza kufanyika (na hufanyika mara kwa mara) ikiwemo ibada ya kupokea ekaristi takatifu, sembuse kunywa pombe.

Pili, Pombe (gongo) hata kwenye madhabahau ya kanisa katoliki inaweza kuombewa na kunywewa, ni kinywaji halali kikatoliki.

Anzia hapo.
Kizuri zaidi hakuna Padre wala Askofu ambaye amekataza waumini kunywa
 
Yesu kwenye karamu zake zote vitu viwli vilikuwa must ni pombe(wine) na mikate (ngano) kumbuka na karamu ilikuwa ni sehemu ya ibada! na ibada haikuwa lazima iwe sehemu maalumu kama hv Leo! em someni biblia bhana! msituchoshee au njoo pm nikupe dondoo
Yes watu wale gambe
 
Back
Top Bottom