Baadhi ya Waumini wa Kanisa Katoliki waonekana wakinywa Konyagi nje ya Kanisa la Mt. Joseph

Baadhi ya Waumini wa Kanisa Katoliki waonekana wakinywa Konyagi nje ya Kanisa la Mt. Joseph

Mkuu Nenda Page ya St.Joseph Instagram kwenye Insta story utaamini nachokuambia watu wanapost mpaka Cocktails na Glass za Taquela Suala la kusingiziwa ni Uongo tena usilee dhambi Kumbuka hata kama ni nje ya Kanisa pale
Wewe ni shahidi Tukipita nje ya Kanisa kwa Wakatoliki Wanainama kidgo kwa ajili ya Kuabudu Sakramenti Takatifu na Msalaba Mtakatifu unaenda kufanya hayo makaramu ya Pombe mbele ya Kanisa Nafikiri hujui maandiko yanavyosema kwenye Mt 21:13 akawaambia, Imeandikwa, Nyumba yangu itaitwa nyumba ya sala; bali ninyi mmeifanya kuwa pango la wanyang’anyi.
Hizo pombe wanaziuza mle ndani kanisani au ni pale nje kwenye parking?. Nyumba yake haiwezi kuwa pango la wanyang'anyi akimaanisha sehemu ya watu kufanyia ibada sio nje ya jengo.
 
Nashindwa kuelewa romani si kanisa
Ni dhehebu.
Mkristo hawezi kutumia kilevi
Maandiko yalishasema
 
Hapo ni nje ya kanisa pia nina wasiwasi hiyo picha ni ya kutengenezwa AI.
Picha wamepiga mwananchi unasema yakutungwa hivi unaakili timamu Video kabisa ya MCL Mwananchi Communication Ltd nao hao unaona uzushi wewe inabidi Uamkie pale wodi ya psychiatric Mirembe kama Sio Mloganzila ndo maana nauliza ushaenda page zao au kubwabwaja tu
 
Mambo ya Walawi 10:9
[9]Usinywe divai wala kileo cho chote, wewe, wala wanao pamoja nawe, hapo mwingiapo ndani ya hema ya kukutania, ili kwamba msife; amri hii itakuwa ni amri ya milele katika vizazi vyenu;

Sasa hao wanakunywa nakuingia na kutoka dhehebuni
Jamani huyu Mungu sio mpole kiasi hiko
Kumbukeni ndie aliechoma watu sodoma,akaua watu kwa maji.
Mlima aliokuwa akikaa hata kuku alikatiza mstari anauwawa.
Leo hii inasikitisha
 
Maji kuwa divai sio maji kuwa mvinyo
Mvinyo ni pombe (divai iliyochacha)
Divai ni juice ya zabibu
Wine na beer hakuna tofauti yoyote. Nuhu alilewa akalala uchi na Mungu akamlaani mtoto wake aliyemchungulia Baba yake.

Imeandikwa kibaya ni kile kimtokacho mtu, ufitini, uchonganishi, majivuno, kiburi, kuliko kile kiingiacho mwilini mwake.

Sisi wakatoliki tunakunywa pombe kama kawaida sijui kuhusu nyinyi walokole.
 
Mithali 31:6
[6]Mpe kileo yeye aliye karibu na kupotea;
Kampe divai yeye aliye na uchungu nafsini.

Kileo ni pombe divai ni juice ya zabibu
Walevi wanajaribu kujisapot na maandiko
Ila neno lipo wazi.
 
Picha wamepiga mwananchi unasema yakutungwa hivi unaakili timamu Video kabisa ya MCL Mwananchi Communication Ltd nao hao unaona uzushi wewe inabidi Uamkie pale wodi ya psychiatric Mirembe kama Sio Mloganzila ndo maana nauliza ushaenda page zao au kubwabwaja tu
Kujipongeza siku ya mwaka mpya mbele ya mlango wa kanisa sio dhambi yoyote. Labda kwenu nyinyi walokole, sisi wakatoliki tupo huru hatufungwi na misimamo mikali.
 
Wine na beer hakuna tofauti yoyote. Nuhu alilewa akalala uchi na Mungu akamlaani mtoto wake aliyemchungulia Baba yake.

Imeandikwa kibaya ni kile kimtokacho mtu, ufitini, uchonganishi, majivuno, kiburi, kuliko kile kiingiacho mwilini mwake.

Sisi wakatoliki tunakunywa pombe kama kawaida sijui kuhusu nyinyi walokole.
Tumsifu Yesu kristu
 
Mithali 31:6
[6]Mpe kileo yeye aliye karibu na kupotea;
Kampe divai yeye aliye na uchungu nafsini.

Kileo ni pombe divai ni juice ya zabibu
Walevi wanajaribu kujisapot na maandiko
Ila neno lipo wazi.
Wine ambayo ni divai haina tofauti yoyote na Bia, wakatoliki tunapiga kinywaji kama kawaida.
 
Wine na beer hakuna tofauti yoyote. Nuhu alilewa akalala uchi na Mungu akamlaani mtoto wake aliyemchungulia Baba yake.

Imeandikwa kibaya ni kile kimtokacho mtu, ufitini, uchonganishi, majivuno, kiburi, kuliko kile kiingiacho mwilini mwake.

Sisi wakatoliki tunakunywa pombe kama kawaida sijui kuhusu nyinyi walokole.
Wakatoliki mnakunywa uo haina shida
Ila si mkristo atakaekunywa
Apo umeongelra unajisi ndio sio kitu kinachomuingia mtu na si kinachomtoka
 
Uzi wa walokole, mawazo ya mleta mada hayana tofauti na vile vipindi vya WAPO Radio vimejaa mada za kupinga kinachofanywa na wakatoliki, wanapoteza muda wao bure tu.

Huku Mbezi Beach siku hizi walokole wanapita nyumba moja moja, wakifika hapo nje nawafukuza kwa kuwaambia waende nyumba zinazofuata, wakikujua wewe ni mkatoliki akili ile ya upingaji inawaingia na kutaka eti wakuokoe.

Badala ya kuwafuata waislam na wapagani wanadanganyika kwamba sisi wakatoliki ndio tunahitaji wokovu, wakati sisi tunafundishwa na mapadre wenye elimu za juu sana za masuala ya Theolojia.
 
Back
Top Bottom