presider
JF-Expert Member
- Feb 26, 2013
- 1,320
- 1,738
Konyagi Spirit of NationView attachment 3189715
Gazeti la Mwananchi limeonyesha kabisa Waamini wa Kanisa la Mtakatifu Joseph Dar es Salaam wakinywa Konyagi Kanisani.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Konyagi Spirit of NationView attachment 3189715
Gazeti la Mwananchi limeonyesha kabisa Waamini wa Kanisa la Mtakatifu Joseph Dar es Salaam wakinywa Konyagi Kanisani.
Hizo pombe wanaziuza mle ndani kanisani au ni pale nje kwenye parking?. Nyumba yake haiwezi kuwa pango la wanyang'anyi akimaanisha sehemu ya watu kufanyia ibada sio nje ya jengo.Mkuu Nenda Page ya St.Joseph Instagram kwenye Insta story utaamini nachokuambia watu wanapost mpaka Cocktails na Glass za Taquela Suala la kusingiziwa ni Uongo tena usilee dhambi Kumbuka hata kama ni nje ya Kanisa pale
Wewe ni shahidi Tukipita nje ya Kanisa kwa Wakatoliki Wanainama kidgo kwa ajili ya Kuabudu Sakramenti Takatifu na Msalaba Mtakatifu unaenda kufanya hayo makaramu ya Pombe mbele ya Kanisa Nafikiri hujui maandiko yanavyosema kwenye Mt 21:13 akawaambia, Imeandikwa, Nyumba yangu itaitwa nyumba ya sala; bali ninyi mmeifanya kuwa pango la wanyang’anyi.
Yesu alikunywa divai sio mvunyoView attachment 3189715
Gazeti la Mwananchi limeonyesha kabisa Waamini wa Kanisa la Mtakatifu Joseph Dar es Salaam wakinywa Konyagi Kanisani.
Hapo ni nje ya kanisa pia nina wasiwasi hiyo picha ni ya kutengenezwa AI.Hivi najiuliza ni nani aliyeasisi huu Ushetani wa kufanya makaramu mbele ya Kanisa? Kama Kuna viongozi wa kikatoliki niambieni
Yesu aligeuza maji kuwa mvinyo kwenye harusi ya Kana baada ya Mama yake kuombwa na wenye shughuli.Nashindwa kuelewa romani si kanisa
Ni dhehebu.
Mkristo hawezi kutumia kilevi
Maandiko yalishasema
Yesu aligeuza maji kuwa mvinyo kwenye harusi ya Kana baada ya Mama yake kuombwa na wenye shughuli.
Haijawahi kuwa shida pombe kwa wakatoriki, labda kama umekuwa hivi karibu.View attachment 3189715
Gazeti la Mwananchi limeonyesha kabisa Waamini wa Kanisa la Mtakatifu Joseph Dar es Salaam wakinywa Konyagi Kanisani.
Picha wamepiga mwananchi unasema yakutungwa hivi unaakili timamu Video kabisa ya MCL Mwananchi Communication Ltd nao hao unaona uzushi wewe inabidi Uamkie pale wodi ya psychiatric Mirembe kama Sio Mloganzila ndo maana nauliza ushaenda page zao au kubwabwaja tuHapo ni nje ya kanisa pia nina wasiwasi hiyo picha ni ya kutengenezwa AI.
Wine na beer hakuna tofauti yoyote. Nuhu alilewa akalala uchi na Mungu akamlaani mtoto wake aliyemchungulia Baba yake.Maji kuwa divai sio maji kuwa mvinyo
Mvinyo ni pombe (divai iliyochacha)
Divai ni juice ya zabibu
Kujipongeza siku ya mwaka mpya mbele ya mlango wa kanisa sio dhambi yoyote. Labda kwenu nyinyi walokole, sisi wakatoliki tupo huru hatufungwi na misimamo mikali.Picha wamepiga mwananchi unasema yakutungwa hivi unaakili timamu Video kabisa ya MCL Mwananchi Communication Ltd nao hao unaona uzushi wewe inabidi Uamkie pale wodi ya psychiatric Mirembe kama Sio Mloganzila ndo maana nauliza ushaenda page zao au kubwabwaja tu
Tumsifu Yesu kristuWine na beer hakuna tofauti yoyote. Nuhu alilewa akalala uchi na Mungu akamlaani mtoto wake aliyemchungulia Baba yake.
Imeandikwa kibaya ni kile kimtokacho mtu, ufitini, uchonganishi, majivuno, kiburi, kuliko kile kiingiacho mwilini mwake.
Sisi wakatoliki tunakunywa pombe kama kawaida sijui kuhusu nyinyi walokole.
Wine ambayo ni divai haina tofauti yoyote na Bia, wakatoliki tunapiga kinywaji kama kawaida.Mithali 31:6
[6]Mpe kileo yeye aliye karibu na kupotea;
Kampe divai yeye aliye na uchungu nafsini.
Kileo ni pombe divai ni juice ya zabibu
Walevi wanajaribu kujisapot na maandiko
Ila neno lipo wazi.
Ibada ya sanamu na hizo nyagi ni same the sameView attachment 3189715
Gazeti la Mwananchi limeonyesha kabisa Waamini wa Kanisa la Mtakatifu Joseph Dar es Salaam wakinywa Konyagi Kanisani.
Wakatoliki mnakunywa uo haina shidaWine na beer hakuna tofauti yoyote. Nuhu alilewa akalala uchi na Mungu akamlaani mtoto wake aliyemchungulia Baba yake.
Imeandikwa kibaya ni kile kimtokacho mtu, ufitini, uchonganishi, majivuno, kiburi, kuliko kile kiingiacho mwilini mwake.
Sisi wakatoliki tunakunywa pombe kama kawaida sijui kuhusu nyinyi walokole.
Wine sio divaiWine ambayo ni divai haina tofauti yoyote na Bia, wakatoliki tunapiga kinywaji kama kawaida.