Baadi ya wanawake kipindi hiki hawana akili

🀣🀣🀣 msiache watakufa njaa, vijana hawatunzi babu
Hahaha................hatutaacha Mjukuu, ila muhimu wawe wanatukumbusha kunywa dawa zetu za Presha tu, vinginevyo wanaweza kupata case ya kuua Wazee 😜
 
Kama unavyoona kwa wanaume wanatongoza wanawake wanaoona wanawamudu, the same Goes kwa wanawake. Wanawake wanadate na man anayeweza ku afford kuwa naye, yaaan ile best option ambayo imenmfata 🀣🀣.

Ikitokea wewe ndo ulikuwa best kwake, then gafla ikaja option ingine akapandisha mzani wake wa kipimo cha ubora, basi hakika anaweza kuwa na second thoughts 🀣🀣🀣🀣
 
Huwa mnateteana sana na kutetea ujinga.suala la kumvua nguo lipo wapi hapo?
 
Sasa unaanza kujiuliza huyo bwana wake alivumilia naye vipi akiwa chuo!
 
Yaani hiyo namba nilimuomba jana tu leo anataka hela akale chipsi ila Wanawake wa siku hizi bure kabisa na sikuwa hata na nia ya kumtongoza au kuwa na mahusiano naye [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
View attachment 3078222
Wanawake wazuri na wanaojiheshimu wapo wengi tu asa sijui nyie mnapita machocho yapi.

Poleni.
 
Binafsi naamini hili tatizo linachangiwa zaidi na wanaume..

Kama wanaume wote tungekuwa na mtazamo wa kuto honga, hakika mitazamo ya wanawake isingekuwa namna ilivyo leo..
Tabia mbaya za wanawake wa kisasa ni matokeo ya kauli, mitazamo, matendo ya baadhi ya Wanaume wachache ambao wameshindwa kucompete kwa mbinu za kiasili.

Mtu anakwambia mwanamke usimwambie unampenda we mpe pesa tu, wadhani wanatengeneza impression ya namna gani?

Mtu anasema mwanamke hatakiwi kupigwa hata kama amekufanya nini, wategemea wanawake wakisikia hivyo wanatafasiri wanaume ni viumbe wa aina gani? [emoji848]
 
Ni ngumu kuishi au kuwa kimahusiano na binti bila kumuomba pesa lakini shida sasa ni namna ya kuomba wanakuwa na desperation sana ndani yao kiasi kwamba unakuwa unamshangaa huyu mtu anachelewa wapi?

Ni kama muda wote wanawaza pesa kutushinda hata sisi wanaume ambao ndio tunazihitaji kuwashinda wao kwenye maisha.

Mwanaume anatoa sana pesa kwenye jamii kumshinda mwanamke lakini cha ajabu mwanamke anataka afanye makusanyo mengi kumshinda mwanaume.

Ninachofurahia kwasasa na wao wamepewa fursa ya kujitafutia so wanajionea ugumu wa kupata hizo 10K, 20K , 30K, 40K na 50K wanazoomba kama buku.

Wakiona ule ugumu wataelewa maana ya neno sina. Mwanamke akishakichezea akapata ujauzito akapata watoto wawili au watatu wakamtegemea wakawa kila saa wanamlilia shida mara chakula, mara wanaumwa, mara nguo, mara wanataka kutoka ndipo sasa wanapata picha ya robo tu ya balaa analokutana nalo mwanaume.

Imagine yeye watoto watatu tu anahisi oxygen inakata, ila mwanaume anaombwa pesa na yeye mke, watoto wote, watoto wa ndugu zake, ndugu zake, ndugu zake yeye mwanamke, wazazi wake yeye mwanamke, wazazi wa mwanaume, jumuiya ya kanisani, kazini, mchepuko, marafiki, majirani, ndugu na jamaa, hawa wote wanamtegemea mwanaume na anaishi kwa utulivu tu na amani bila kulalamika.

Wanawake muwe mnaheshimu hela za mwanaume na kutoziomba utadhani ulitafuta nae. Akisema sina we heshimu na kuchukulia ni kawaida na sio kosa kikatiba. Kuwa mvumilivu au fanya kazi sio uende kugawa utupu wako kwa kisingizio kuwa mwanaume wako amesema hana pesa.

Mnajitengenezea mikosi mikubwa sana siku za baadae, mtakuja kuwa na adhabu ya uzeeni na ya kaburi kutokana na maisha yenu ya sasa. Haya malalamiko ya wanaume ninyi mnacheka na kujiona wajanja, haya tusubirie, anayeanza kucheka huwa anamaliza na kilio.
 
Umalaya ni mzigo blaza.
 
Alitegemea ungesamehe. Na hapo atakuwa amekusema " MWANAUME HUWA HADAI PESA AKIKOPESHA MWANAMKE" MI huwa nawaambia OK basi tufanye mi siyo mwanaume basi nilipe. Maana hainipunguzii chochote yeye kutoniona mimi si mwanaume kwa kuwa nadai changu.
πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜† Hizo ni Kauli wanaziheahimu wanaume wapumbavu,Mimi Sina huo mzaha
 
Maisha baba maisha, hawa wenzetu ni nzito ktk maisha.
 
Duh!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…