Baadi ya wanawake kipindi hiki hawana akili

Baadi ya wanawake kipindi hiki hawana akili

Tatizo uwa mnapenda maslay queen
Kilichokutokea hata nami pia kilinitokea isipokuwa huyu alinikubalia kuwa Mpenzi wangu akatoka nami tukakaa mahali tukala tukanywa, bili ilitoka kama 48,000, nikawa namsikilizia anasemaje, cha ajabu akasema amefurahi kutoka nami out ila hajisikii kuliwa nami siku hiyo. Nilimkubalia tukaagiza uber tukasepa, nilipofika karibu na kwao tu alianza kaniambia ye ni jobless woman anahitaji support toka kwangu nimsaidie pesa ya matumizi nikashangaa...nilimwambia siku zote huwa anaishije bila mimi? Alijitetea oooh...huwa anasaidiwq na Ndugu zake mara ye ni single mother ana Watoto watatu anawalea mwenyewe ametelekezewa na Me, nikamwambia "pambana ndiyo ukubwa huo", alizidi kulalamika wewe...nikamwambia "kama anafanya biashara anijuze mapema maana hata hatujafungua mapenzi kivitendo nitaanzaje kuhudumia ghafla ghafla na je nina uhakika hatanibadilikia mbeleni kunikataa?" eti oooh nisiwe na wasiwasi wowote maana kashanikubalia nilimlipia uber nikataka niondoke akanishika mkono nilimkata jicho aliniachia mwenyewe. Baada ya siku 3 alinipigia simu na kuanza kulalamika"kwanini hunitafuti Mpenzi wako, unajua nimeamkaje, nimekula nini, nimeshindaje nikaona isiwe tabu basi nilimkubalia tu kuwa majukumu yalinizidi ndiyomaana aliona kimya" tukaagana, siku 2 mbele alirudia tabia yake ya kunilalamikia kuwa namkosea sana kutomtafuta nakati ye ni Mpenzi wangu, nilikuuliza alitakaje? Alinijibu kuwa simjali sijui hata anaishi vipi, anakulaje anavaaje au analipaje kodi nikamjibu kuwa "yeye si bora sana kiasi awe anatafutwa yeye tu bali hata nami anapaswa kunitafuta ndiyo maana ya upendo" alijitetea weee lakini nilisimamia hapo hapo. Nilikata simu, nili-block na kufuta kabisa no yake mazima. Miezi 6 sasa hatujawasiliana tena. Ke wa Kizazi chetu cha 2000 ni chuma ulete waliochangamka na pasua kichwa tupu.

wengi wenye akili hawana shape zinazovutia, wamekaa ki wife material, wanaonekana washamba balaa..!! Ila haya maisha bhaana..!!😂😂
Picha tafadhali ya wife material alivyokaa kishamba.

Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
 
Unaingia shamba lenye pilipili kichaa unachuma, unaonja halafu unashangaa mbona inawasha. Si ni pilipili?
 
Mimi kuna manzi tulikuwa na urafiki tu akaanza kujisogezaa mara akaniomba nimpe kiasi fulani cha hela atanirudishia akipata mshahara. Nilipojua amepata mshahara nikamkumbusha kunilipa akaanza kama kutaka kunichenga nikamwambia "ya mangi hailiwi bure bwashee naomba hela yangu".

Alipoona nipo serious alinipatia, nikataka nimdai na riba ila nikaamua kupokea kiasi kile kile.

Huwezi amini alinichukia tokea hiyo siku hakuwahi hata kunisemesha tena. Ni ajabu kwakuwa mtu alinikopa na sio kwamba nilimpa hisani.

Wanawake sijui mpoje.
Huwa natoaga sadaka tu ikiwa Ke atataka kunikopa pesa, nina uzoefu huwa hawanirudishii kamwe hata niwe serious namna gani sana sana ni kuchukiwa milele.

Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
 
"Kesho yake nikamuuliza. Anataka tuwe na uhusiano wa namna gani ili nijue mapema"

Sijakasirika bali nimekuweka bayana kuwa wewe ndiwe tutusa na si huyo mwanamke.
Next time soma alama za nyakati halafu amua kiume badala ya kuuliza maswali ya kike...
take it easy. haya maisha usiya complicate sana. sisi wengine tuna move on. na mtu akikuonya shukuru usimchukie jamaa. badilika tu.
 
Ni vile tu hakua muwazi au wewe uliweka ngumu hukutaka kumuelewa.

Huyo anauza samaki wa baharini(papa).
Pamoja na hayo yote bado mwamba hutaki kuelewa bibie anataka nini.

Kilichotakiwa kufanywa ile baada ya msosi ni kukodi room, uzagamue umlipe asepe na mambo yanaishia hapo.

Wanawake wengi mjini wanajiuza kwa namna nyingi hiyo ikiwemo.
Maisha town ni ghali, mambi ni mengi lazima ajiongeze.
By your experience, how convincing power should be used fo her entrance towards the room though she wasn't ready?

Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
 
Huyu binti anafanya kazi ofisi moja hapa Dar Es Salaam si mbali sana na jiji. Nlionana naye huko maana ni jengo moja tuna share.

Basi nikaomba urafiki kupitia kwa rafikiye ambaye alinipa namba ya simu. Tukaanza mawasiliano day one tunaongea n.k akanidokeza huwa yeye havai chupi.so anavaa tu suruali ya jeans bil chupi.

Nikashtuka kidogo.anyway nikasema labda usasa. Ingawa nlikuwa nawaza kipapa chake si kitakuwa kimesuguliwa sana na jeans? Anyway...apishie mbali.

Kesho yake akanitumia msg. Ana shida ya tsh 50,000. Nikamchana tu kuwa ninayo but sitampa. Mapema hivi? Nikamwambia kama ana taka tuwe serious aje na mawazo ya maana ya nini tufanye ajiongezee kipato.maana she is working na anaishi alone.akasema sawa.

Siku mbili tatu akanipigia simu.kuniuliza nipo wapi. Nikamwambia nipo home napumzika. Akanijibu kuwa anafika sehemu x kuna issue zake anafuatilia kama sitojali nimwone hapo.

Nikarukia jeans na tshirt na sandals.nikawasha kimeo changu mpaka eneo husika. Akanisubirisha maana alienda mwona mtu kama dk 10 akaja nlipo. Akapanda garini.

Basi nikamwuliza tunakaa wapi tuongee.akaniambia hajala so tuelekee sehemu moja kms kama 12 from there.nika mwambia haina haja hapo karibu kuna restaurant classic nampeleka akapate msosi. Kama hatopenda chakula aache nitampeleka popote pale Dsm na kumlipa fidia ya kuchelewa kula.

Nikampeleka hapo hapo ni walking distance sema kwa kuwa nina kakimeo tuka drive. Akafika akala aka enjoy zilinitoka 22,000 za haraka haraka.siku mind siyo issue kwa marafiki.

Amemaliza kula akaniambia sasa anaweza enda kwake. Aka request uber.tukaja garini tunasubiri huku tunapiga stories.wa uber akaja.akamwambia.asubiri asiwe na mchecheto. Kama dk 40 hivi. Ananiambia sasa naondoka.

Nikamwambia sawa. Naona hashuki garini.akaaga tena.nikamwambia sawa amwahi Uber wake.ndo ananiambia.

"Unipe nauli ya Uber" nlimtizama.nikamwona hana akili. Yaani safari zake,nimempa chakula na anataka nimlipie na Uber.sikumwita aje? Huyu si ni Tutusa aliyefaulu kwa kiwango cha juu?

Nlimwambia tu SIKUPI. akadhani natania. Nikarudia kuwa sikupi shuka please. Akashuka akaondoka. Kesho yake nikamuuliza. Anataka tuwe na uhusiano wa namna gani ili nijue mapema. AkajiBu IDK. Nikanyamaza.

After 5 days akanipigia.akanisalimia.nikamjibu very normal.akaaga. a minute akatuma msg

" Baby nimefiwa na mjomba wangu natakiwa kesho kwenda msibani"

Sikumjibu mpaka leo. Nli mblock maana niliona hana akili. Na amesoma ana Degree from IFM. hawa wanawake wa sasa ni Toleo lipi?mbona hawana akili?
Nani hana akili weye au yeye? sasa anataka afanye nini na ashakuona bwege? kama unamtaka si uende kwao ukampose na umuoe? unataka umvue nguo halafu umshit? wewe wa wapi? huyu dada anaakili sana. mabwege kama nyinyi mpo wengi mjini mnataka mliwe pesa zenu mpaka mshike akili zenu
 
take it easy. haya maisha usiya complicate sana. sisi wengine tuna move on. na mtu akikuonya shukuru usimchukie jamaa. badilika tu.
Mimi nawafundisha wadogo zangu, ninyi mnaona nawakasirikia...
Mwanamke ameshajipambanua ana tabia gani, badala ya kuchapa mwendo kimyakimya, ninyi mnauliza maswali yanayoonesha udhaifu wenu.
 
Binafsi naamini hili tatizo linachangiwa zaidi na wanaume..

Kama wanaume wote tungekuwa na mtazamo wa kuto honga, hakika mitazamo ya wanawake isingekuwa namna ilivyo leo..
🤣🤣🤣🤣Kqenye chama chochote kila wasaliti hawakosekani.....
 
Hata wanaume lipo toleo la ajabu na wapenda vitonga.
Mtu anakuja kwako anakopa kwamba kesho atarudisha alafu ndio mtokee hata ukidai anajibu nitakupatia ndo milele Hadi unachoka kudai.
 
Hii mada inabidi Wazee tupite kimya kimya na ku-take note za kuwafunza Wajukuu zetu wa Kike, wasije kukosa Waume serious wa Kuwaoa bure Kwa kuendekeza hizo tips za 20k ama 50k

Binafsi nina uhakika Wajukuu zangu wa kike hawana hiyo tabia, labda wengine huko Mtaani 🤗
Nyie kina babu ndio mnaowaharibu kwa kuwapa pesa hovyo 😹😹😹
 
Huyu binti anafanya kazi ofisi moja hapa Dar Es Salaam si mbali sana na jiji. Nlionana naye huko maana ni jengo moja tuna share.

Basi nikaomba urafiki kupitia kwa rafikiye ambaye alinipa namba ya simu. Tukaanza mawasiliano day one tunaongea n.k akanidokeza huwa yeye havai chupi.so anavaa tu suruali ya jeans bil chupi.

Nikashtuka kidogo.anyway nikasema labda usasa. Ingawa nlikuwa nawaza kipapa chake si kitakuwa kimesuguliwa sana na jeans? Anyway...apishie mbali.

Kesho yake akanitumia msg. Ana shida ya tsh 50,000. Nikamchana tu kuwa ninayo but sitampa. Mapema hivi? Nikamwambia kama ana taka tuwe serious aje na mawazo ya maana ya nini tufanye ajiongezee kipato.maana she is working na anaishi alone.akasema sawa.

Siku mbili tatu akanipigia simu.kuniuliza nipo wapi. Nikamwambia nipo home napumzika. Akanijibu kuwa anafika sehemu x kuna issue zake anafuatilia kama sitojali nimwone hapo.

Nikarukia jeans na tshirt na sandals.nikawasha kimeo changu mpaka eneo husika. Akanisubirisha maana alienda mwona mtu kama dk 10 akaja nlipo. Akapanda garini.

Basi nikamwuliza tunakaa wapi tuongee.akaniambia hajala so tuelekee sehemu moja kms kama 12 from there.nika mwambia haina haja hapo karibu kuna restaurant classic nampeleka akapate msosi. Kama hatopenda chakula aache nitampeleka popote pale Dsm na kumlipa fidia ya kuchelewa kula.

Nikampeleka hapo hapo ni walking distance sema kwa kuwa nina kakimeo tuka drive. Akafika akala aka enjoy zilinitoka 22,000 za haraka haraka.siku mind siyo issue kwa marafiki.

Amemaliza kula akaniambia sasa anaweza enda kwake. Aka request uber.tukaja garini tunasubiri huku tunapiga stories.wa uber akaja.akamwambia.asubiri asiwe na mchecheto. Kama dk 40 hivi. Ananiambia sasa naondoka.

Nikamwambia sawa. Naona hashuki garini.akaaga tena.nikamwambia sawa amwahi Uber wake.ndo ananiambia.

"Unipe nauli ya Uber" nlimtizama.nikamwona hana akili. Yaani safari zake,nimempa chakula na anataka nimlipie na Uber.sikumwita aje? Huyu si ni Tutusa aliyefaulu kwa kiwango cha juu?

Nlimwambia tu SIKUPI. akadhani natania. Nikarudia kuwa sikupi shuka please. Akashuka akaondoka. Kesho yake nikamuuliza. Anataka tuwe na uhusiano wa namna gani ili nijue mapema. AkajiBu IDK. Nikanyamaza.

After 5 days akanipigia.akanisalimia.nikamjibu very normal.akaaga. a minute akatuma msg

" Baby nimefiwa na mjomba wangu natakiwa kesho kwenda msibani"

Sikumjibu mpaka leo. Nli mblock maana niliona hana akili. Na amesoma ana Degree from IFM. hawa wanawake wa sasa ni Toleo lipi?mbona hawana akili?
Kimantiki sisi watalebani tunawaita LIABILITIES
 
Nyie kina babu ndio mnaowaharibu kwa kuwapa pesa hovyo 😹😹😹
Bila kufanya hivyo si tutakufa na baridi Mjukuu 😜

Hata hivyo nitaongea na Wazee wenzangu waache hiyo tabia 🤗
 
Back
Top Bottom