Underthesea
JF-Expert Member
- Jul 8, 2021
- 327
- 882
Yes yeye mwenyewe aliona hawezi kuacha. One thing nili note kwenye hiyo case, wanasema sitting room kwake kilikuwa na horror movie flani playing 24/7.Nimemkumbuka Dahmer kwa sababu jamaa alikuwa pedophile pia. Huyu mwamba ni balaa kabisa. Yaani yeye mwenyewe alikuwa haelewi afanyaje maana anasema angeachiwa huru angeendeleza mambo yake. Huyu nina uhakika pia alikuwa psychopath maana mpaka maaskari wamekuja kumhoji, baada ya kusikia malalamiko ya majirani kuhusiana na kijana mdogo aliyekuwa anazunguka mtaani naked na alikuwa akitokwa damu, jamaa akawakaribisha ndani na hakuwa mwoga hata kidogo. Alijiamini kabisa kama raia wa kawaida na hata mwonekano wake ulikuwa unaaminisha kwamba ni mtu innocent kabisa, ingawa alikuwa mtu wa kutisha.
I always thought there's something wrong with people watching horror movies, like how can you sit and enjoy such images, and after hearing about Dahmer ndo kabisaa, nikijua mtu anaangalia horror movie namtia alama. Sio wa kawaida kwangu tena.