Baba abaka mwanaye wa umri wa miaka 11 mkoani Manyara

Baba abaka mwanaye wa umri wa miaka 11 mkoani Manyara

Nimemkumbuka Dahmer kwa sababu jamaa alikuwa pedophile pia. Huyu mwamba ni balaa kabisa. Yaani yeye mwenyewe alikuwa haelewi afanyaje maana anasema angeachiwa huru angeendeleza mambo yake. Huyu nina uhakika pia alikuwa psychopath maana mpaka maaskari wamekuja kumhoji, baada ya kusikia malalamiko ya majirani kuhusiana na kijana mdogo aliyekuwa anazunguka mtaani naked na alikuwa akitokwa damu, jamaa akawakaribisha ndani na hakuwa mwoga hata kidogo. Alijiamini kabisa kama raia wa kawaida na hata mwonekano wake ulikuwa unaaminisha kwamba ni mtu innocent kabisa, ingawa alikuwa mtu wa kutisha.
Yes yeye mwenyewe aliona hawezi kuacha. One thing nili note kwenye hiyo case, wanasema sitting room kwake kilikuwa na horror movie flani playing 24/7.

I always thought there's something wrong with people watching horror movies, like how can you sit and enjoy such images, and after hearing about Dahmer ndo kabisaa, nikijua mtu anaangalia horror movie namtia alama. Sio wa kawaida kwangu tena.
 
Yes yeye mwenyewe aliona hawezi kuacha. One thing nili note kwenye hiyo case, wanasema sitting room kwake kilikuwa na horror movie flani playing 24/7.

I always thought there's something wrong with people watching horror movies, like how can sit and enjoy such images, and after hearing about Dahmer ndo kabisaa, nikijua mtu anaangalia horror movie namtia alama. Sio wa kawaida kwangu tena.
Horror movie siyo kabisa mzee. Watu wa kawaida wataogopa kuangalia, lakini mtu mwenye element za u psychopath anavuta kiti na kuchukua inspiration kutoka kwenye movie.
Inabidi watoto waanze kuangaliwa kwa ukaribu zaidi. Kwa sababu kwa case ya huyu jamaa alivyokuwa mdogo wazazi wake hawakuwa na maelewano mazuri. Na Dahmer alikosa attention ya wazazi akiwa mdogo. Akaanza ukatili kwa wanyama.
Hata mtoto au mtu mzima katili kwa wanyama inabidi aangaliwe sana.
 
Hua najiuliza sana na majibu sipati inasimama vipi?? Mbona naona ni kitu hakiwezekani,ni jambo la kawaida mwanaume kusimamisha anapoona sehemu za siri za mwanamke ,lakini kama mwanamke huyo wewe unamwita mama, dada,mwanao kamwe haisimami.
Ndio maana kuna tofauti kati ya roho ya Mungu na ya shetani...
 
😖😖😖 kwanini umenikumbusha huyo mtu. The first time I read his story I was traumatized. Naogopa lakini I'm too curious like how mtu anakuwa hivi?? Jamaa handsome huwezi kudhania anaua na kula na kulala na maiti!! Hadi nikaenda kuangalia documentary yake na serial killers wengine.

Me I concluded kuna watu tu hawako sawa kichwani and they don't deserve to be part of our society, wapotezwe kabisa kwenye uso wa dunia kwa usalama wetu na watoto wetu. They're just mistakes produced by nature.
Siku nilisoma story ya Jeffrey Dahmer niliskia kinyaa the whole day huyu kaka alikuwa na tatizo kubwa mno
 
Hua najiuliza sana na majibu sipati inasimama vipi?? Mbona naona ni kitu hakiwezekani,ni jambo la kawaida mwanaume kusimamisha anapoona sehemu za siri za mwanamke ,lakini kama mwanamke huyo wewe unamwita mama, dada,mwanao kamwe haisimami.
Mzee mpumbavu kweli huyo na upumbavu wa kwanza ni kulala chumba kimoja na mke na msichana wa miaka 11 kitandani!


Wapishe na mama yake we lala hata jikoni. Upate akili ya kuongeza chumba.
 
Umeanza vizuri sana, lakini mwishoni hapa umeteleza kidogo. Pamoja na kuwa mnyama amezidiwa sana akili na binadamu, lakini kamwe hawezi kumwingilia mnyama ambaye hajafikia umri wa kuingiliwa. Sasa hapa sijuwi tusemeje; au yawezekana tuko species mbili tofauti za binadamu: ya kwanza ndio hii ambayo tupo wengi, na ya pili ni hii ya hawa wanaobaka, wanabaka hadi watoto wao. Hawa inaonekana hata ubongo wao unazidiwa hata na wanyama kwa kufikiri, maana haiwezekani mnyama amjuwe mnyama mwenzake kuwa hajafikia umri wa kujamiiana, akamuacha, lakini binadamu anajamiiana na mtoto, tena wa kumzaa mwenyewe. Hii ni zaidi ya wanyama!
Yani ni ukafiri uliokithiri
 
Jeshi la Polisi Mkoa wa Manyara limesema linamtafuta mkazi wa Kata ya Magugu wilayani Babati, Frednand Yohana ambaye anatuhumiwa kumbaka mtoto wake wa kumzaa mwenye umri wa miaka 11.

Kamanda wa Polisi wa Mkoa huo, Benjamin Kuzaga ameyasema hayo leo Jumatatu Desemba 13, 2021 mjini Babati wakati akizungumza na waandishi wa habari.

Kamanda Kuzaga amesema mkazi huyo wa Magugu alikuwa anambaka mtoto wake wa kike mwenye umri wa miaka 11 (jina lake linahifadhiwa) usiku wakati mke wake na watoto wengine wakiwa wamelala.

Amesema tukio hilo limefanyika kwa vipindi tofauti na lilibainika Desemba 6 mwaka huu baada ya mkewe kutoa taarifa Kituo cha Polisi Magugu.

Amesema taarifa za tukio hilo zimetolewa na mke wake, Justina Emmanuel ambapo mtoto huyo alikuwa anafanyiwa vitendo hivyo tangu mwezi Oktoba mwaka huu.

"Walikuwa wanaishi kwenye chumba kimoja mume, mke na watoto wao watatu na uchunguzi umeonyesha Yohana amembaka mtoto wake zaidi ya mara nne," amesema Kamanda Kuziga.

Amesema mtuhumiwa alitoroka baada ya mkewe kubaini kitendo hicho na polisi wanamtafuta ili afikishwe mahakamani.

View attachment 2043074
Watu kama hawa ni Gunshot tu na kumpa kesi ya ujambazi😎 japo two wrongs don’t make it right ila its for the better!
 
Back
Top Bottom