Baba afungwa jela Maisha kwa Kubaka Wanae Wakike wawili na kumlawiti wa Kiume

FAMILIA INAMTEGEMEA Vs. KABAKA NA KULAWITI WATOTO WA FAMILIA

haya mambo mawili kama vile yanakinzana, au hapo alikuwa anaongelea familia ipi? πŸ€”

Ila mashahidi 18 na utofauti wa hiyo miaka ya kutenda makosa, kuna jambo halipo sawa mahali. Naweka 60% anaweza kuchomoka kwenye rufaaa.

Kama ilivyonukuliwa hapo juu ndivyo adhabu aliyopewa kuitumikia jela maisha yako yote hakuna adhabu ya hivyo. Adhabu ni kutumikia kifungo cha maisha jela

Ila haya mambo pia yafanyiwe upelelzi wa kina sana kabla ya kuyapeleka Mahakamani.
 

Ila kuna wanaume na wanaume jamaniπŸ€”πŸ€”πŸ€”lol
Niseme tuu mkibadilika nyie dunia imepona
 
Huyo mtoto wa kiume alikuwa baunsa mnyanyua vyuma? Maana sasa tunaacha kuangalia ni vipi watoto wanaingizwa kwenye ushoga tumeanza kudhalilisha watu na fani zao eti mabaunsa wanyanyua vyuma ndio mashoga
 
wakati anafanya hayo Mke wake alikua yuko wapi na anafanya nini ?

je Watoto wenyewe wamethibitisha hilo ?

hizi habari zinakua na maswali mengi pengine kunakua na visasi maana kwa akili za kawaida mimi siamini kama Baba anaweza wafanyia hivo Watoto wake wa kuwazaa ila yote tumuachie Mwenyezi Mungu ndiye mjuzi zaidi πŸ™
 
Mpuuzi sana familia inayomtegemwa ndio hio kaiangamiza. Badala angejitetea kasingiziwa ila kaomba apunguziwe adhabu hapo inamaanisha hajasingiziwa. wangemlamba kitanzi tu
 
Halafu Kuna watu wanasema madanguro yapigwe marufuku.
Genye Kama hizi angezimalizia kwa wahaya kwa buku mbili tu.
 
Mama alitaka ampoteze huyo mwehu.
 
Mama alitaka ampoteze huyo mwehu.
hai make sense hapa kuna kitu behind mimi akili yangu haikubali kabisa.

sasa baba Mwenye akili zako uliwazaa mwenyewe una akili zako timamu sasa uvif…re hivyo vitoto ili iweje ?

bado hainiingii akilini
 
hai make sense hapa kuna kitu behind mimi akili yangu haikubali kabisa.

sasa baba Mwenye akili zako uliwazaa mwenyewe una akili zako timamu sasa uvif…re hivyo vitoto ili iweje ?

bado hainiingii akilini
Ni kweli inatia shaka, lakini mbona nae kajitetea kwa kuomba kupunguziwa adhabu?
Huoni kama hapo inakuwa kama amekubali kosa?
 
Halafu alivyokuwa taahira ati naomba nipunguzie adhabu kwa sababu nina familia inanitegemea.
Familia inakutegemea kwa hicho kibako na kifiro?!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nimecheka kaa fala πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ daaah wengine mpaka nguruwe mkuuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…