Baba afungwa jela Maisha kwa Kubaka Wanae Wakike wawili na kumlawiti wa Kiume

Wakati mwingije haya mambo yanatokana na ugomvi wa mke na mume , mama anaamua kumkomoa mzazi mwenzie ..
Kwenye malezi mama zetu huwa wanatengeneza Jeshi kubwa sana linalotokama na watoto mnaozaa. Jeshi hili siku zote huwa lipo upande wa mama , ndo ile inatokea unasokesha watoto hadi wanapata kujielewa na kazi , halafu ,uzeeni unakuta watoto wanaamua kumchukua mama yao na kujengea kijumba mhini. .
Kuna uwezekano pia hao watoto kuwa wamepangwa na mama ili kumuangamiza baba yao, ilishawahi kutokea Kenya , Baba alitiwa hatiani kwa kesi ya kubaka mwanae akakaa jela kwa miaka kadhaa , binti alishikwa na roho ya huruma akaenda mahamani kuomba kuema ukweli kuwa hakuwahi kubakwa ila aliongopa ili kumkomoa baba yake kwa maelekezo ya mama yake
 
Ametenda makosa hayo kati ya mwaka 2018 na 2022

Ametenda makosa hayo ndani ya miaka 4.muda wote huo walikuwepo wapi kumshitaki??

Mimi nina wasiwasi sana na hayo mashitaka. Inawezekana wamemuona hamnazo wakamfanyia figisu wampoteze
 
Ni kweli inatia shaka, lakini mbona nae kajitetea kwa kuomba kupunguziwa adhabu?
Huoni kama hapo inakuwa kama amekubali kosa?
Ukishakutwa Na hatia mahakamani ukaombwa ujitetee huna namna nyingine ya kusema zaidi ya hiyo sababu tayari umeshakutwa na hatia hata usiposema hivo adhabu ipo pale pale
 
Ukishakutwa ba hatia mahakamani ukaombwa ujitetee huna namna nyingine ya kusema zaidi ya hiyo sababu tayar umeshakutwa na hatia hata usiposema hivo adhabu ipo pale pale
Kujitetea kwake ingekuwa, sijatenda kosa ila.

Hukumuni mtakavyo, kama hujatenda kosa kataa mpaka mwisho wa uhai wako
 
Ni kweli inatia shaka, lakini mbona nae kajitetea kwa kuomba kupunguziwa adhabu?
Huoni kama hapo inakuwa kama amekubali kosa?
sasa ukishatoa utetezi wako mwisho ukatiwa hatiani unadhani kinachobaki nini kama sio kuomba upungizowe adhabu ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…