Khanji kapoor
JF-Expert Member
- Oct 19, 2024
- 1,198
- 2,695
Degree ya nini kwanza isije kuwa zile za nanli😁😁
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naunga mkono hojaHaya yote kasababisha Aziz Ki alieoa single mother wa watoto 2 kwa fuso mbili za ng'ombe kwa hiyo Mzee anaona mwanae mwenye degree anastahili zaidi
Sasa kwa mahari ya laki tatu huyo binti utaweza kumtunza? Wakati mwingine mkae kimya na si kutukana ati wanamuuza! Mahari ni test ya mwanaume kuona kama yupo tayari kukabiliana na majukumu! Usilazimishe ndoa!Wakuu zengwe hili limetokea Leo hapa mtaani
Binti kamaliza chuo anataka kuoelewa na mwanaachuo mwenzie Ambae ndio kwanza ananijitafuta.
Baba amekataa kuonesha😂akidai ni dharau binti ameahidi kutoroka sijui itakuwaje
Wazazi mahari ni sawa na kumuuza binti badilikeni
Baba anaelewa anachokifanya nakupa kisa kilitokea .....
Binti mmoja aliolewa kwetu miaka mingi iliyopita!!! sasa yeye alisema hakuna haja ya mahari kwani si lazima na kwao hawajali hayo mambo.. alivishwa Pete ya uchumba na ndoa ilifungwa maisha yakaendelea baada ya miaka kumi maisha fresh na mume alifanikiwa kupata teuzi sasa ni muheshimiwa...
Sasa sisi tunatoka kabila ambalo mahari tunatolewwa ni kubwa huku binti kutolewa hata ng'ombe kumi ni kawaida sasa baada ya hiyo miaka kumi mama muheshimiwa na familia yake wakaanza kudai mahari ya million 20 wakithaminisha na degree yake .
Wazee walichukia sana nusu ndoa ivunjwe ilitokea sintofahamu kubwa sana na ndugu yetu ilifikia hatuna akachukua jiko la kabila letu na kutoa mahari stahili yenye vigezo.. maana inaonekana bidada alitaka ndoa huku akiwa amempimia future mwanaume.
Kutokana na lile zogo mama muheshimiwa alipata mke mwenza.
Baba wa mwanamke ana akili.
aisee hii inatesa ndio changamoto ninayo pitia mimi. niliwambia wazazi wanitafutie binti wa kuoa huko kijijini kwetu baada ya kuona jitihada zangu zakupata mke zimegonga mwamba hapa mujini, binti alipatikana tena mzuri nika unganishwa nae tukayajenga na kukubaliana kabisa. shida imekuja kwenye mahali walikubaliana m1.6, wazazi wakasema sawa lakini sisi tutatoa m1 then kiasi kilicho baki kitamaliziwa siku za usoni maana kijana bado anajitafuta tunaomba na ndoa kabisa, wakakubaliana na siku ya kwenda kutoa. chaajabu baada ya siku kadhaa mzee wangu alipokea ujumbe kutoka kwa baba mkwe mtalajiwa ya kwamba mke wake kagoma ETI mpaka pesa ienee, nilishangaa sana mwisho nikawambia Kama hawataki basi wanitumie hala yangu nifanye mambo mengine. nime ambiwa nivute subira wanaweka mambo sawa, lakini kiukweli kama mambo nihaya naona kama kuoa itakua changamoto kwangu
Kila mtu na mtazamo wake,,, pengine huo ni mtazamo wako na uko huru kufikiri mtu anauzwa......Akili ya kuuza mtu?
Jamii zote wa watu wenye Akili huwezi kuta huo upuuzi.
Mpo Karne ya 21 Kimakosa.
Mawazo ha Karne ya 11 huko binadamu wakiuzwa kama Dunia za Viazi
Barter tradeMahari ni sawa na batter trade
Laki 3 nayo mahari jmn waache dharau Yan mzazi asomeshe mtu aje kuchukua Kwa laki 3