Aaliyyah
JF-Expert Member
- Mar 20, 2022
- 19,041
- 46,239
Iyo utajua weeMahari haiamuliwi na gharama za kusomesha. Kihalisi mahari ni kwa ajili ya mwanamke aliyejitunza tu bikira
Huwezi kumtolea mahari mwanamke ambaye wanaume wameshamchezea mpaka basi. Ni utapeli
If she slept with other men for free should be offered for free
Mm nachojua mahari ni zawadi Kwa anaeolewa
ila kitanzania mahari italipwa tu alaf badae wakiwa vichwa nyie mkiwa mikia mnalamika acheni kukwepa mambo ukiwa mwanaume kubali tu kuwajibika acha visingizio