Baba agoma kumuozesha mwane kwa mahari ya laki tatu kisa ana degree

Iko Hivi mentality ya kila mwanamke anaitaji kulipiwa mahali kubwa/ Nyingi.
Ila kiukweli Kila mwanamke anataka Maisha ya juu, sasa Jiulize hayo Maisha ya juu anapayataje, tegemeo ni hicho alichokificha ktk Chupi tu.
Pia kumekua na tabia ya Kila mwanamke Kuamini kua Mwanaume ni chanzo Cha uchumi.
Note: Azizi Ki ameongeza ongezeko la wanawake kuitaji Mahari kubwa, pia Wanawake Wengi wanajiringanisha na uthamani wa Fedha.
 
Kstoeni mahari huko unataka hata maandalizi ya harusi baba yake atoe pesa mfukoni kwake?
 
Yaani nakwambiaje mbona ameolewa muda sna huyo chuon wamekaa pamoja ndoa imeanza muda walikua wanakaa wawill hawaa
 
Sasa kwa mahari ya laki tatu huyo binti utaweza kumtunza? Wakati mwingine mkae kimya na si kutukana ati wanamuuza! Mahari ni test ya mwanaume kuona kama yupo tayari kukabiliana na majukumu! Usilazimishe ndoa!
 
Nimecheka Kama mazuri vile kwaio mtoa mada imeishaje na degree yake 🙌🏾
 

Akili ya kuuza mtu?

Jamii zote wa watu wenye Akili huwezi kuta huo upuuzi.

Mpo Karne ya 21 Kimakosa.
Mawazo ha Karne ya 11 huko binadamu wakiuzwa kama Dunia za Viazi
 

Hakunaga mtu anaoa kwa kutoa Mahari (kununua binadamu) ogopa matapeli.
 
Huyo kijana anataka kuoa halafu anajitafuta? Hapa ndipo vijana wengi tunafeli oa ukiwa na uhakika wa kula na sehemu ya kuishi.
 
Akili ya kuuza mtu?

Jamii zote wa watu wenye Akili huwezi kuta huo upuuzi.

Mpo Karne ya 21 Kimakosa.
Mawazo ha Karne ya 11 huko binadamu wakiuzwa kama Dunia za Viazi
Kila mtu na mtazamo wake,,, pengine huo ni mtazamo wako na uko huru kufikiri mtu anauzwa......
Binafsi nimetolewa mahari kadri ya utamaduni wa kabila langu unavyotaka na wanangu wa kike watatolewa mahari na wa kiume ntawatolea mahari.
Wewe uliye mkamilifu hii Karne ya 21 fanya unachoona kinafaa, fikiri na ongea unachohisi kuongea binafsi sijali.
 
Laki 3 nayo mahari jmn waache dharau Yan mzazi asomeshe mtu aje kuchukua Kwa laki 3
 
Laki 3 nayo mahari jmn waache dharau Yan mzazi asomeshe mtu aje kuchukua Kwa laki 3
Mahari haiamuliwi na gharama za kusomesha. Kihalisi mahari ni kwa ajili ya mwanamke aliyejitunza tu bikira

Huwezi kumtolea mahari mwanamke ambaye wanaume wameshamchezea mpaka basi. Ni utapeli

If she slept with other men for free should be offered for free
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…