Baba ahukumiwa miaka 40 jela kwa kuzaa na binti yake

Baba ahukumiwa miaka 40 jela kwa kuzaa na binti yake

Uchafu kama huo ni mwingi sana unatokea lakini huwa unafichwa fichwa kifamilia, mabinti wengine wanayapenda hayo, huendeleza kimya kimya.

Kikulacho ki nguoni mwako.
Michezo hii ipo sana katika familia za kiarab na ndiyo maana kila familia ya kiarab utakuta mtoto/mtu dunduka anafugwa humo ndani na baadaye kutumika kama jini la msukule kwa ajili ya mambo yao.
 
Michezo hii ipo sana katika familia za kiarab na ndiyo maana kila familia ya kiarab utakuta mtoto/mtu dunduka anafugwa humo ndani na baadaye kutumika kama jini la msukule kwa ajili ya mambo yao.
Ukiona hivyo elewa kuwa huyo siyo mcha Mungu, ni mwenye kukufuru.

Kuwa mwarabu au jamii nyengine yoyote ile siyo kigezo cha ubora wa binaadam, mbora kati yetu ni yule mwenye kumcha Mungu.
 
Ukiona hivyo elewa kuwa huyo siyo mcha Mungu, ni mwenye kukufuru.

Kuwa mwarabu au jamii nyengine yoyote ile siyo kigezo cha ubora wa binaadam, mbora kati yetu ni yule mwenye kumcha Mungu.
Ni kweli ila kwanini familia za Kiarab wanapenda sana kuwa na mazombie na kuwaweka stoo?
 
Hivi miaka 25 si alikua na uwezo wa kukubali ama kukataa??
Hakubakwa,ilikuwa michezo yao.
Mwaka 2005 hivi Afande Sele aliimba
"" Ni sakata la mwaka ,dada kamtaka kaka ,na kaka Naye aksema kaka ondoa Shaka""
Na kuna mstali Afande anasema yaani mtu inakula tunda lako mwenyewe!!
Watanzania tuko mbele ya muda kufanya ujinga miaka mingi
 
Kwamba unataka kusema mwamba kasingiziwa??
Pengine unawesa kuwa sahihi lkn inahitajika uthibitisho Fulani.

Si unajua mahakama zetu hizi kwa sarakasi hasa kipindi kile Cha kesi ya ugaidi wa mbowe tuliona jinsi meza ilivyokuwa inapinduliwa pinduliw

White is black and black is white.
 
Binti ana miaka 27, Baba yake ana miaka 40, ina maana huyo mzee alipata mtoto akiwa na miaka 13? Labda siyo mtoto wake wa kumzaa.
 
Kibaha. Hakimu Mwandamizi Mfawidhi wa Mahakama ya Wilaya ya Kibaha mkoani Pwani, Yudith Lyimo amemhukumu kifungo cha miaka 40 jela, na viboko 12 mkazi wa ‘Kwa Mfipa’ Kibaha, Fadhiri Msham kwa kosa la kufanya mapenzi na mwanawe wa kumzaa na kumpa ujauzito.

Mbali na adhabu hiyo pia Msham ambaye ni mtumishi katika Halmashauri ya Wilaya ya Kibaha kama dereva, atatakiwa kulipa kiasi cha Sh4 milioni kama fidia kwa mwanawe huyo mwenye umri wa miaka 27, kutokana na kitendo alichomfanyia kilichosababisha kushika ujauzito na kupata mtoto.
Hukumu hiyo imetolewa jana Jumatatu Mei 8, 2023 mahakamani hapo baada ya hakimu kuridhishwa na ushahidi uliotolewa wakati wa mwenendo wa kesi hiyo.
Imeelezwa mahakamani hapo kuwa Msham alitenda kosa hilo 2021 huko Kwa Mfipa wakati alipotembelewa na mwanawe huyo aliyekuwa anaishi maeneo mengine na mama yake mzazi.
Kwa mujibu wa mwenendo wa kesi hiyo ya jinai namba 23 ya mwaka 2021, imeelezwa kuwa baada ya kuletwa Mahakamani kwaajili ya kusikilizwa kipindi hicho; ilibidi iliondolewa ili kusubiri hadi mtoto atakapo zaliwa kwa lengo la kupata uthibitisho wa kipimo cha vinasaba (DNA).
Baada ya kuzaliwa mtoto ndipo shauri hilo lilirudishwa mahakamani kwa mara ya pili ambapo taratibu za kipimo hicho zilifanyika na kubaini kwa asilimia 99.99 kuwa Msham anahusika kumpa ujauzito mwanawe huyo.

MWANANCHI
Kwa hyo mama na mtoto ni mtu na mke mwenzake au imekaeje hyo
 
Wapime na DNA ya mwanamke wajue kama ni baba yake kweli usikute ulipakaziwa
Kudos, akili mingi sana.

Huyu mzee ilibidi amkatae huyo binti na baada ya kumkataa mahakama automatically itapima dna kujiridhisha, wakikuta sio mtoto wake mzee apewe goma, nyumba ndogo hio, na afidiwe pia
 
Ila kwenye utetez baba yake yeye alikuwa anasema aje?! Kuwa hajafanya au.? Maana ushaidi wa kutengeneza upo kabisa.. miaka 25 sijui kama anaweza kukubali kuingiliwa na baba wakati kama sio punguani.
 
Ni mtoto wake wa kumzaa au ni mtoto wa kambo? Watoto wa kambo ni hatari kufanyiwa vitendo vibaya na baba wa kambo kama ndoa ikivurugika mababa mengine wa kambo hukomoa wake zao kwa kuwalala watoto wasiowazaa
Hivi hua mnasoma kwanza kabla ya kukoment au hua mnakoment kwenye third party comments? Imeandikwa mtoto wake wa kumzaa wewe tena unauliza kama ni wakambo. Nchi ngumu hii
 
Back
Top Bottom