Baba ahukumiwa miaka 40 jela kwa kuzaa na binti yake

Nina wasiwasi sana na hili suala. Usikute kulikuwa na kutokuelewana kati ya wanandoa halafu mama na mtoto wakatumia mbinu za medani mtoto aende kwa baba yake ajilengeshe halafu akinasa wafungue kesi. Unahitajika uchunguzi wa kina hapa kwanza kujua wanandoa hawakuwa na ugomvi. Vipi wanandoa hawakuwa wanagombania mali kama nyumba, mashamba, n.k..

Kwa akili ya kawaida kabisa miaka 25-27 sio mtoto mdogo na ingetokea kabeba mimba ya baba yake bahati mbaya lazima angesepa kupoteza ushahidi ili baba yake asifungwe na kupoteza ushahidi na kumfichia aibu baba yake mzazi. Lakini kama katoa ushirikiano kwa polisi na mahakama basi huo ni mchongo wa huyo mtoto na mamayake. Ndugu wa mume shtukeni na mchukue hatua haraka ndugu yenu huyo wamemfix full stop.
Mtaenda sana JELA.
 
Kudos, akili mingi sana.

Huyu mzee ilibidi amkatae huyo binti na baada ya kumkataa mahakama automatically itapima dna kujiridhisha, wakikuta sio mtoto wake mzee apewe goma, nyumba ndogo hio, na afidiwe pia
Mahakama haiendeshwi kwa namna hiyo bwashee.

Mwaka huu mtafungwa sana.
 
Ila kwenye utetez baba yake yeye alikuwa anasema aje?! Kuwa hajafanya au.? Maana ushaidi wa kutengeneza upo kabisa.. miaka 25 sijui kama anaweza kukubali kuingiliwa na baba wakati kama sio punguani.
Kubakwa kuna namna nyingi, hata kwa kumlewesha mtu.
 
Nina wasiwasi sana na hili suala. Usikute kulikuwa na kutokuelewana kati ya wanandoa halafu mama na mtoto wakatumia mbinu za medani mtoto aende kwa baba yake ajilengeshe halafu akinasa wafungue kesi. Unahitajika uchunguzi wa kina hapa kwanza kujua wanandoa hawakuwa na ugomvi. Vipi wanandoa hawakuwa wanagombania mali kama nyumba, mashamba, n.k..

Kwa akili ya kawaida kabisa miaka 25-27 sio mtoto mdogo na ingetokea kabeba mimba ya baba yake bahati mbaya lazima angesepa kupoteza ushahidi ili baba yake asifungwe na kupoteza ushahidi na kumfichia aibu baba yake mzazi. Lakini kama katoa ushirikiano kwa polisi na mahakama basi huo ni mchongo wa huyo mtoto na mamayake. Ndugu wa mume shtukeni na mchukue hatua haraka ndugu yenu huyo wamemfix full stop.
Umeongea point tupu Mkuu yani hawa wanawake hawa Pumbavu kabsa,

NB: Mipango miovu ya Wanawake wawili ni sawa dhambi za Majini 100
 
Ndo hii hapa ni ya muda nadhani hukumu imetoka!
Nimesikiliza Hadi mwisho na kugundua tafuatayo:

Wazazi wote wawili wanaishi nyumba moja Ila vyumba tofauti

Mtoto ni mlemavu wa akili.

Mama mtoto aliona Kwa macho mtoto akiwa amelala na mumewe lakini hakupiga kelele badala yake cha kwanza akaacha kuomba msaada nyumba za jirani akaenda Kwenye nyumba za waarabu ambako ni mbali.

Alipowakosa waarabu akarudi Kwa wamatumbi wenzake ambapo bado alikua kimya bila makelel nako wakamkaushia maana awali aliwaruka.

Akakimbia tena Hadi kwake na kukuta game ndio inaishia ishia ndipo akaanza makelele sasa.

Muda wote huo anamuamlisha mtoto atoke nje akiwa uchi na bila kunawa ili kutoondoa ushahidi lakini mtoto aliamua kunawa na kuvaa nguo akatoka nje .

Mama aliomshika mtoto akaanza kumpiga lakini mtoto akacholopoka na kurudi chumbani Kwa Baba na gemu likaendelea .

Kesho yake akamoeleka hospital akaambiwa ushahid hakuna sababu mtoto alinawa lakini inaonyesha ameshatanuka njia na pia mjamzito wa miezi miwili.

Akaenda dawati akaambiwa Sawa muache ajifungue kwanza.
.......................

NASIKIA HUMU JF KUNA WATU WAMESOMA CUBA.

SWALI LANGU KWENU:

hyu mama anaishi nyumba moja na huyo Baba aliyemlala mtoto wake lakini at the same time hyo mama ameolewa na mume mungine huko mtaa wa nne.

Hapa mliosoma ISLAEL malizieni swali nililotaka kuuliza
 
Umalaya ukizidi nayo tabu wanawake wote, mpaka mtoto wako wa damu, daa aibu gani ?
 
Kuna sehemu hujaielewa ingawa mie niliisikiliza nadhan 2021...ilitokea mno kwa media..huyu mama haaishi na huyu baba mtoto alienda msalimia baba ake afu huyu huyu mbaba ametembea na dadake wakuzaliwa tumbo 1 akamuambukiza hiv..chek maximum tv nadhan walimuonesha...yaan anatembea na ndugu wa damu 1..kafanana na dadake balaa na mwanaye huyu....nadhan maximum tv ndo wana mkanda wote
 
Nimesikiliza Hadi mwisho na kugundua tafuatayo:

Wazazi wote wawili wanaishi nyumba moja Ila vyumba tofauti

Mtoto ni mlemavu wa akili.

Mama mtoto aliona Kwa macho mtoto akiwa amelala na mumewe lakini hakupiga kelele badala yake cha kwanza akaacha kuomba msaada nyumba za jirani akaenda Kwenye nyumba za waarabu ambako ni mbali.

Alipowakosa waarabu akarudi Kwa wamatumbi wenzake ambapo bado alikua kimya bila makelel nako wakamkaushia maana awali aliwaruka.

Akakimbia tena Hadi kwake na kukuta game ndio inaishia ishia ndipo akaanza makelele sasa.

Muda wote huo anamuamlisha mtoto atoke nje akiwa uchi na bila kunawa ili kutoondoa ushahidi lakini mtoto aliamua kunawa na kuvaa nguo akatoka nje .

Mama aliomshika mtoto akaanza kumpiga lakini mtoto akacholopoka na kurudi chumbani Kwa Baba na gemu likaendelea .

Kesho yake akamoeleka hospital akaambiwa ushahid hakuna sababu mtoto alinawa lakini inaonyesha ameshatanuka njia na pia mjamzito wa miezi miwili.

Akaenda dawati akaambiwa Sawa muache ajifungue kwanza.
.......................

NASIKIA HUMU JF KUNA WATU WAMESOMA CUBA.

SWALI LANGU KWENU:

hyu mama anaishi nyumba moja na huyo Baba aliyemlala mtoto wake lakini at the same time hyo mama ameolewa na mume mungine huko mtaa wa nne.

Hapa mliosoma ISLAEL malizieni swali nililotaka kuuliza
Kwahiyo ni sawa kumlala binti ako kisa ana ulemavu wa akili?
 
In short ni kwamba kesi ilitengenezwa na ndio sabab hukumu imefutwa Leo saa sita na nusu na kesi imeanza upya.
 
Mtoto na mama wanakuwa na baba mmoja. Wakati huo huo baba huyo huyo anakuwa babu kwa mmojawapo.
Huo ni Muungano wa serikali 3 tayari. Kuna mmoja atanufaika zaidi na huo muungano haramu.
Pia MTOTO anaweza muita mama yake, DADA kwa kuwa wote ni WATOTO wa baba mmoja

Haloo hii ndio ile wazungu wanaiita "MIXER ANDIQASI"
 
Back
Top Bottom