Mkereketwa_Huyu
JF-Expert Member
- Feb 19, 2011
- 9,836
- 7,231
Michezo hii ipo sana katika familia za kiarab na ndiyo maana kila familia ya kiarab utakuta mtoto/mtu dunduka anafugwa humo ndani na baadaye kutumika kama jini la msukule kwa ajili ya mambo yao.Uchafu kama huo ni mwingi sana unatokea lakini huwa unafichwa fichwa kifamilia, mabinti wengine wanayapenda hayo, huendeleza kimya kimya.
Kikulacho ki nguoni mwako.
Ukiona hivyo elewa kuwa huyo siyo mcha Mungu, ni mwenye kukufuru.Michezo hii ipo sana katika familia za kiarab na ndiyo maana kila familia ya kiarab utakuta mtoto/mtu dunduka anafugwa humo ndani na baadaye kutumika kama jini la msukule kwa ajili ya mambo yao.
Ni kweli ila kwanini familia za Kiarab wanapenda sana kuwa na mazombie na kuwaweka stoo?Ukiona hivyo elewa kuwa huyo siyo mcha Mungu, ni mwenye kukufuru.
Kuwa mwarabu au jamii nyengine yoyote ile siyo kigezo cha ubora wa binaadam, mbora kati yetu ni yule mwenye kumcha Mungu.
sio kweli imani tu hizoKuna hatari ya huyo mtoto kuzaliwa akiwa ana ulemavu au matatizo ya kiafya kwa kuwa ni damu moja imetunga mimba hiyo
Haya mambo ya DNA wtk mwingine sio ya kayaamini saaaaaaaaaaanaaaaaaaa.
Tena kibongobongo [emoji848][emoji21]
Hakubakwa,ilikuwa michezo yao.Hivi miaka 25 si alikua na uwezo wa kukubali ama kukataa??
Pengine unawesa kuwa sahihi lkn inahitajika uthibitisho Fulani.Kwamba unataka kusema mwamba kasingiziwa??
Tena hatari kubwa mno.Hatari sana
Hivi nani alipeleka mashitaka?Nani huyo? Kwani alikosa wanawake wote sisi.
Tena kumbe ni jirani hapa hapa.
Yaani ilianzaje ? Sijaelewa. Nini kilitokea hadi jamhuri ikashitaki?Jamhuri
Kwa hyo mama na mtoto ni mtu na mke mwenzake au imekaeje hyoKibaha. Hakimu Mwandamizi Mfawidhi wa Mahakama ya Wilaya ya Kibaha mkoani Pwani, Yudith Lyimo amemhukumu kifungo cha miaka 40 jela, na viboko 12 mkazi wa ‘Kwa Mfipa’ Kibaha, Fadhiri Msham kwa kosa la kufanya mapenzi na mwanawe wa kumzaa na kumpa ujauzito.
Mbali na adhabu hiyo pia Msham ambaye ni mtumishi katika Halmashauri ya Wilaya ya Kibaha kama dereva, atatakiwa kulipa kiasi cha Sh4 milioni kama fidia kwa mwanawe huyo mwenye umri wa miaka 27, kutokana na kitendo alichomfanyia kilichosababisha kushika ujauzito na kupata mtoto.
Hukumu hiyo imetolewa jana Jumatatu Mei 8, 2023 mahakamani hapo baada ya hakimu kuridhishwa na ushahidi uliotolewa wakati wa mwenendo wa kesi hiyo.
Imeelezwa mahakamani hapo kuwa Msham alitenda kosa hilo 2021 huko Kwa Mfipa wakati alipotembelewa na mwanawe huyo aliyekuwa anaishi maeneo mengine na mama yake mzazi.
Kwa mujibu wa mwenendo wa kesi hiyo ya jinai namba 23 ya mwaka 2021, imeelezwa kuwa baada ya kuletwa Mahakamani kwaajili ya kusikilizwa kipindi hicho; ilibidi iliondolewa ili kusubiri hadi mtoto atakapo zaliwa kwa lengo la kupata uthibitisho wa kipimo cha vinasaba (DNA).
Baada ya kuzaliwa mtoto ndipo shauri hilo lilirudishwa mahakamani kwa mara ya pili ambapo taratibu za kipimo hicho zilifanyika na kubaini kwa asilimia 99.99 kuwa Msham anahusika kumpa ujauzito mwanawe huyo.
MWANANCHI
Umesoma mbio mbio sana mkuu. Mtot keshazaliwaKuna hatari ya huyo mtoto kuzaliwa akiwa ana ulemavu au matatizo ya kiafya kwa kuwa ni damu moja imetunga mimba hiyo
Kudos, akili mingi sana.Wapime na DNA ya mwanamke wajue kama ni baba yake kweli usikute ulipakaziwa
Hivi hua mnasoma kwanza kabla ya kukoment au hua mnakoment kwenye third party comments? Imeandikwa mtoto wake wa kumzaa wewe tena unauliza kama ni wakambo. Nchi ngumu hiiNi mtoto wake wa kumzaa au ni mtoto wa kambo? Watoto wa kambo ni hatari kufanyiwa vitendo vibaya na baba wa kambo kama ndoa ikivurugika mababa mengine wa kambo hukomoa wake zao kwa kuwalala watoto wasiowazaa
Shule ulienda kusomea ujinga wapi wameandika umri wa baba?Binti ana miaka 27, Baba yake ana miaka 40, ina maana huyo mzee alipata mtoto akiwa na miaka 13? Labda siyo mtoto wake wa kumzaa.