Baba ahukumiwa miaka 40 jela kwa kuzaa na binti yake


Hii ni laana,
Familia hiyo imelaaniwa
 
Mtoto na mama wanakuwa na baba mmoja. Wakati huo huo baba huyo huyo anakuwa babu kwa mmojawapo.
Huo ni Muungano wa serikali 3 tayari. Kuna mmoja atanufaika zaidi na huo muungano haramu.
 
Uchafu kama huo ni mwingi sana unatokea lakini huwa unafichwa fichwa kifamilia, mabinti wengine wanayapenda hayo, huendeleza kimya kimya.

Kikulacho ki nguoni mwako.
pole sana, kwani na wewe ni mhanga wa hilo?
inafikirisha sana kwa kweli.
 
Uchafu kama huo ni mwingi sana unatokea lakini huwa unafichwa fichwa kifamilia, mabinti wengine wanayapenda hayo, huendeleza kimya kimya.

Kikulacho ki nguoni mwako.
huu utamaduni ukiachwa bila kukemewa itaonekana ni kawaida wazazi na watoto wao kupandana, baba kwa mtoto, mama kwa mtoto, ni ushetani mtupu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…