Na vipi kama Baba mwenye nyumba ameshindwa kutekeleza majukumu yake ipasavyo ikiwemo ni Ile conjugal right kwa mkeweAiseee! Wakina mama acheni tabia mbaya, wiki nzima unaenda kugawa kitumbua bila kutolewa mahari inasikitisha sana!
Inapaswa avumilie na si vinginevyo uzinzi ni dhambi kisheria.Na vipi kama Baba mwenye nyumba ameshindwa kutekeleza majukumu yake ipasavyo ikiwemo ni Ile conjugal right kwa mkewe
Kama Line. Yako Kali zawadi huwa zipo na mgawaji huwa ni Chief Mwenyewe.Tunasubiri mama arudi. Atatuletea zawadi
Shida ni umeshampa nafasi ya kukuletea ugali nyumbani, lazima uvumilie tuu hamna namna kwa kweliAiseee! Wakina mama acheni tabia mbaya, wiki nzima unaenda kugawa kitumbua bila kutolewa mahari inasikitisha sana!
Nimempa jukumu la kunipikia na siyo kunitafutia hayo mengine yanaibuka kutoka wapi tena!Shida ni umeshampa nafasi ya kukuletea ugali nyumbani, lazima uvumilie tuu hamna namna kwa kweli