Baba alitaka kuniua Mbele ya Walimu na Wanafunzi wenzangu. Kama tu si Kuzuiwa...

Mkuu hayo mambo ya kawaida mi nilishapewa suspension mbili A level moja ilikuwa ya kukamatwa na simu tulikuwa wengi sana kwenye msala huo nyingine ilikuwa tulikwenda kuangalia mechi ya UEFA champions league ya real Madrid kifurushi kiliisha pale shule ikapitishwa rokoo asubuh ambao hatukuwepo wote kesi na kuna jamaa alishawahi kamatwa na demu wa o level yule aliambiwa arudi siku ya mtihani
 
Ulitisha mzee baba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…