Ni mtu wa maana sana kwenye familia yake ndugu,ni bora bado yupo hai, watoto wangapi wanalilia waone angalau sura za baba zao wanafananaje hata kwa picha itakuja kuwa huyu ambaye amerudi akiwa hai,Ukiwa na mzazi unamuita baba na yupo hai mshukuru sana Mungu.