Baba arudi nyumbani mikono mitupu baada ya kupotea kwa miaka 42

Huo ndio uanaume sasa..... Na kama vipi apotee tena hapo. Miaka kadhaa arejee akiwa na miaka kama 130 hivi itapendeza sana.
 
Kwenye picha km mtu wa maana.
Ni mtu wa maana sana kwenye familia yake ndugu,ni bora bado yupo hai, watoto wangapi wanalilia waone angalau sura za baba zao wanafananaje hata kwa picha itakuja kuwa huyu ambaye amerudi akiwa hai,Ukiwa na mzazi unamuita baba na yupo hai mshukuru sana Mungu.
 
Uhuru wako wa mawazo mkuu
 
Daah Tanzania pamemshinda kaona arudi home sweet home
 
Back
Top Bottom