milele amina
JF-Expert Member
- Aug 16, 2024
- 6,045
- 8,080
- Thread starter
- #41
Kwa hiyo wagonjwa wafokewe na intern na wanafunzi???😳Sasa unamfokea nani? Kama hukubali kufokewa na nesi na wewe usilete mgonjwa acha!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hiyo wagonjwa wafokewe na intern na wanafunzi???😳Sasa unamfokea nani? Kama hukubali kufokewa na nesi na wewe usilete mgonjwa acha!!!
Rais ana elimu na uzoefu gani kusimamia sekta zote- afya, elimu, kilimo etc?Waxiri wa afya ana elimu Gani na uzoefu Gani kuisimamia sekta ya afya??
Rais anselimu na uzoefu gani kusimamia sekta zote- afya, elimu, kilimo etc?
Tangu Malasusa arudi madarakani, hali hii imekuwa mbaya zaidi. Inawezekana huyu mzee wa Sumbawanga anawatoa watu kafara ili aendelee kukaa madarakani milele.Msikilize huyu mtanzania!!
Mkurugenzi wa Hospital hiyo kubwa nchini,amejikita kwenye miradi ya ujenzi,akiachilia mbali maisha ya watu!
Idadi ya vifo ni kubwa mno, na Kuna uwezekano mkubwa mmiliki wa duka kubwa la majeneza nje ya hospital hiyo ni la wa Mkurugenzi wa KCMC
Manesi wamezidiwa kazi, wagonjwa ni wengi , madaktari wameanzisha vituo na hospital zao mjini kibao na Kila Kona na hazitumii Wala bimaðŸ˜ðŸ˜ðŸ˜
Kuna tabia imezuka hospital ya KCMC, intern ni wengi kuliko manesi na madaktari.
Matokeo yake, huduma inatolewa below standard kupitia intern.
Kuna wazungu wapo intern,hawajui kitu chochote na sijui wanatokea nchi Gani ,ndio wanatunika kutibu watu ambao wengi wanafariki kukosa umakini na madaktari bingwa
Angalizo: Serikali ifanye ukaguzi WA mara Kwa mara kukagua mochwari ya hospital ya Rufaa ya Kanda ya KCMC, ilibkujua idadi ya watu waliofariki na sababu za vifo vyao,Hali ni mbaya mochari Kila siku imejaa!*
Hii ni mada mpya au una support mada ya awali mkuu?Tangu Malasusa arudi madarakani, hali hii imekuwa mbaya zaidi. Inawezekana huyu mzee wa Sumbawanga anawatoa watu kafara ili aendelee kukaa madarakani milele.
Nina establish the cause of increase in death rates at KCMC hospital. Wewe umeona ni mada mpya mkuu?Hii ni mada mpya au una support mada ya awali mkuu?
Ubarikiwe sana!!Nina establish the cause of increase in death rates at KCMC hospital. Wewe umeona ni mada mpya mkuu?
Acha kulazimisha udini mahala pasipostshiki.Habari nzuri sana hii kwa BAKWATA
Ride Natty Ride lyricsRide Natty Ride
Serikali pia ihusishwe as hizi hospital zinaendeshwa jointly kati ya kanisa na serikaliMadaktari wengi wanapita hapo hospital kuelekea KCMC university,kufundisha,wanakimbia kutibu wagonjwa.
Kuna haja KCMC kuunda timu ya kugawa wanaotaka kufundisha chuo waende na wasitibu wagonjwa,na wanaotaka kutibu wagonjwa wasiende kufundisha chuoni hapo
Bila utaratibu huu, vifo vitakuwa vingi kupita maelezo.
Shida zote zinaanzia kwa huyo mama, uwezo wake mdogo na kutojali mambo ya msingi. Yuko kuwaza siasa tu,Serikali ilipiga marufuku vijiwe hivi sasa Saa100 amezubaa wananchi wanalia usiku na mchana
Seminary ipi Mkuu?Seminary morogoro inadaiwa na wafanyakazi, wanataka kuiuza
Junior seminary, iko Morogoro barabara ya DarSeminary ipi Mkuu?
Hospitali za Mission waliziweza wazungu zijui kwanini waliwafukuza, kwasasa ni hospitali moja tu nchini zingine zote zikajifunzie huko "Consolatha Farthers Ikonda Makete"Msikilize huyu mtanzania!!