Kwani wewe akili za wapinzani unazionaje?Mimi nayaheshimu maoni yako lakini sikubaliani nayo.Corona ni kama wapinzani ni kauli ya ajabu saana....Nape wetu kwa vile kesha omba na kasemehewa,arudishwe asap
Sent using Jamii Forums mobile app
Hawapo tena.Kwa nini CCM hekima inazidi kutaradadi katika siku hizi za karibuni? Ni kwamba ndani ya chama wote wenye uwezo wa kushauri yaliyo mema wamekwisha au wamezira?
Sent using Jamii Forums mobile app
Tangu lini CCM walikuwa na Hekima . CCM ndio hivyo walivyo,wewe huoni hata kauli zaoKwa nini CCM hekima inazidi kutaradadi katika siku hizi za karibuni? Ni kwamba ndani ya chama wote wenye uwezo wa kushauri yaliyo mema wamekwisha au wamezira?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mlio pewa ajira na Polepole lazima muwe na viwango vinavyo kidhi matakwa yake. Hii utaita akili kweli?Maaskofu waingie tu kwenye siasa tujue moja
Inasubiriwa tu watu wa ccm wakohoe watoe nyongo zao,kuna watunga sheria wamevamia.gereza na kutaka kufungulia wafungwa,askofu kama hakulisikia hilo,yupo kimyaaa
Hivi wewe kijana hii elimu yako ya msingi ulimaliza std 7 au uliishia LA sita? Hili jukwaa nadhani umedandia bila kuelewa kuwa sio size yako!Kwani wewe akili za wapinzani unazionaje?
Kumchukua lowassa watu wamedeki barabara,halafu karudi ccm akiwaacha doofu l hali,kuliko alivyowakuta
Siku zote Uongo hujitengaMaaskofu waingie tu kwenye siasa tujue moja
Inasubiriwa tu watu wa ccm wakohoe watoe nyongo zao,kuna watunga sheria wamevamia.gereza na kutaka kufungulia wafungwa,askofu kama hakulisikia hilo,yupo kimyaaa
Akili za polepole na zako Pascal Mayalla ni sawa tu. Nyote ni makatili wenye ngozi ya kondoo.yafa mfungwe mawe makubwa shingoni na kutupwa kwenye mkondo bahari wa Nungwi.Duh...!.
P
Duh...!.Akili za polepole na zako Pascal Mayalla ni sawa tu. Nyote ni makatili wenye ngozi ya kondoo.yafa mfungwe mawe makubwa shingoni na kutupwa kwenye mkondo bahari wa Nungwi.
Chakubanga ana fungus kwenye ubongo wake.Wengi wanaelewa kama askofu aliyosema lakini mhusika sidhani kama ana akili hiyo ambayo askofu anaafikiri kuwa anayo.
Hawezi kumkana kada mwenzakeHiyo DU pekee yake Paskali haiwezi kusaidia, nilitegemea unatoa kauli ya kulaani matamshi ya Polepole
Kila moja wao anajitahidi kuwa kichaa kama kichaa wao mkuuKwa nini CCM hekima inazidi kutaradadi katika siku hizi za karibuni? Ni kwamba ndani ya chama wote wenye uwezo wa kushauri yaliyo mema wamekwisha au wamezira?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sema hawa jamaa sijawaskia wakiwakosoa upinzani as if hawakosei...Maaskofu waingie tu kwenye siasa tujue moja
Inasubiriwa tu watu wa ccm wakohoe watoe nyongo zao,kuna watunga sheria wamevamia.gereza na kutaka kufungulia wafungwa,askofu kama hakulisikia hilo,yupo kimyaaa