Baba Askofu Munga: Akili na hekima. Corona sio sawa na Wapinzani

Then a certain certified hooligan from a certain gang is joking with it
IMG-20200321-WA0002.jpeg

Don't make a promise you can't fulfill...
 
Maaskofu waingie tu kwenye siasa tujue moja
Inasubiriwa tu watu wa ccm wakohoe watoe nyongo zao,kuna watunga sheria wamevamia.gereza na kutaka kufungulia wafungwa,askofu kama hakulisikia hilo,yupo kimyaaa
Huu uongo wa Segerea mmefeli vibaya bora ukae kimya unaonekana Zuzu tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maaskofu waingie tu kwenye siasa tujue moja
Inasubiriwa tu watu wa ccm wakohoe watoe nyongo zao,kuna watunga sheria wamevamia.gereza na kutaka kufungulia wafungwa,askofu kama hakulisikia hilo,yupo kimyaaa
Wakiipongeza ccm sio siasa,ila wakiikosoa ni siasa,akili za kujipendekeza na mapambio zitatumaliza
 
CCM ilikuwa na vyuo vya kunoa makada siku hizi havipo?

Hizi kauli tatatata hizi kuna watu wanazikusanya. Siku kitabu kikitoka kuna wengine watasema ni uchochezi.

Wachochezi halisi wataachwa wataandamwa wachapishaji.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo jamaa hana kazi nyingine zaidi ya kujibu wanasiasa?
 
Katibu mwenezi wa CCM Humphrey Polepole ametoa kauli tata sana kuhusiana na ugonjws wa Corona pamoja na Wapinzania .Kauli yake imewa amsha viongozi wa dini na kutoa maoni yao kuhusiana na kauli hiyo tata. Ninasema kuwa ni kauli ya CCM sababu mpaka sasa si mwenyekiti wala katibu mkuu waliojitokeza hadharani na kuipinga kauli hiyo.Nitasema ni kauli ya CCM Mara tu a Mwenyekiti au Katibu a Mkuu wa CCM wakijitokeza hadharani na kuiikana kauli ya Polepole
 
Kauli ipi hiyo? Sikupata bahati ya kuisikia
 
Back
Top Bottom