Baba Askofu Munga: Akili na hekima. Corona sio sawa na Wapinzani

Nadhani nikauli ya CCM hakuna aliye msahihisha viongozi wa kitaifa wanapaswa kutunza kauli zao wengi wakiwa nyuma ya mikamera hujitoa ufahamu 'a public figure has to keep his words'
 
Nyie mnawaita wao corona na majina ya ajabu... Ninyi mkiitwa mnanuna.
 
Sasa mtu akikosa hekima inakuwaje? Tumlaani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Wajerumani waliwabatiza wayahudi jina la Panya; Wahutu waliwabatiza watusi jina la mende; kina polepole wamewabatiza wapinzani jina la korona.

What do they have in common? They all are suffering from zenophobia. Wanaweka imani yao ktk vitendo kwa kutumia mbinu ya kubatiza majina machafu.
 
Huwezi mtenganisha slow Na chama ukizingatia nafasi anayoiwakilisha
 
Bila upinzani ccm ingelala,upinzani ni nyundo ccm ni msumari bila nyundo haiendi.
 
Daima sitasema uongo
Hii ni ahadi ya mwana ccm
Mwambie muhashamu achukue kadi na kutangaza nia,mahaba yamepitiliza
Ccm ya mwalimu ilikuwa ya maadili sio hii sawa Na certified gang terrorist ambao iko sawa Na gang criminals kama vile mafia.Ccm imepoteza legitimacy ya kuongoza watu,
 
Viongozi wanatakiwa waombe hekima na busara ktk kutawala kama alivyofanya Mfalme Sulemani, viongozi waishi kwa kumtumania Mungu na kufanya yaliyo mema machoni kwa Mola wetu. tatizo wengi wamemwacha Mungu, wananyanyasa wengine! uongo! unafiki! kudhulumu haki za kushi! Huyu Mungu hawezi kamwe kushikamana na uovu!
 
Mkuu hivi kwa mtazamo wako, ktk hekma nani ana unafuu kati ya Magu na polepole?
 
Mbona hujawaona viongozi wa CHADEMA hii vita ya maneno wameianza Chadema Muda tu. Sema ni vile tu CCM wamewajibu basi ishakuwa jambo??
 
Hakuna la kumung'unya maneno katika swala la Korona.
Mtu anayefananisha Korona na binadamu yeyote, ati kwa vile yuko upinzani, huyo mtu ni najisi.
Tena alaaniwe na dini zote.
Chama si dini wala kabila.
WaTanzania tumeoleana bila kujalli vyama na tunaishi kama ndugu pamoja na kutofautina kimtzamo kichama.

Anayeita binadamu mwenziwe Korona hana tofauti na inarahamwe wa Rwanda waliochochea vita ya kimbari.
Alaaniwe, alaaniwe , alaaniwe.
 
Mbona hujawaona viongozi wa CHADEMA hii vita ya maneno wameianza Chadema Muda tu. Sema ni vile tu CCM wamewajibu basi ishakuwa jambo??
Nina wasiwasi hujanielewa. Sijamaanisha vita ya maneno. Nimemaanisha athari ya maneno anayoyatoa kwa jamii kulingana na muda au jambo ambalo liko kwenye hiyo jamii hasa anapokuwa kiongozi "mwenye dhamana"
 
MOJAWAPO MAMBO NILIYOYAHIFADHI KWA KUMBUKUMBU NA REJEA KWA MIAKA IJAYO NI PAMOJA NA HII KAULI YA POLEPOLE. HIVI HUYU CCM ILIMWOKOTA WAPI?
 
Wengi wanaelewa kama askofu aliyosema lakini mhusika sidhani kama ana akili hiyo ambayo askofu anaafikiri kuwa anayo.
WEWE ASKOFU, NI KAMA UNAMPIGIA MBUZI GITAA. UCHAFU NA MAASI WALIYOYAFANYA HAWA AKINA POLEPOLE NA CHAMA CHAO IMEKUWA LAANA KWAO. WANA MACHO LAKINI HAWAONI, WANA MASIKIO LAKINI HAWASIKII, WANA AKILI LAKINI HAWANA HEKIMA. NI USHETANI KWA KWENDA MBELE! SINA UHAKIKA KAMA POLEPOLE ALIWAHI HATA KUWAZA KUWA KUNA MUNGU AU KUNA KUFA. YEYE MAWAZO YAKE NI KWAMBA WATATAWALA MILELE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…