Baba Askofu Munga: Akili na hekima. Corona sio sawa na Wapinzani

HAPA TANZANIA KWA SASA VIRUSI VITATU HATARI NI CORONA, CCM NA POLEPOLE
 
Usihofu, kuwa na amani. Kikao kijacho Cha nec ccm kitaondoka nae na kumrejesha aliyeomba radhi! Na wenye ajenda yao ni wenyeviti wastaafu na waliokuwa mashuhuri enzi zao! Na hoja yao ikikataliwa watasusa kumsaidia kupiga kampeni! Polepole analo Safari hii.
 
Mchungaji pole sana kwa majukumu mazito ya kuendelea kuisimamisha kazi ya ukombozi ktk taifa letu na ulimwengu kama ambavyo aliinzisha kristo. Unaitenda kazi kwa uaminifu mkubwa wakati ambao tanzania ipo kwenye giza kuu. HAKIKA MCH. BWANA POLEPOLE ANA KIRUSI CHA AJABU ROHONI MWAKE NA KIRUSI HICHO NI HATARI KWA ROHO NYINGI ZA WATANZANIA πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
wakati wa vita hilo laweza kutokea, nilikuwa na dharura ya kusafiri na nikabanwa kwenye foreni pale kipawa wakati nimebakiza robo saa ya check-in ndege ya kwenda Mwanza nilitelemka toka taxi nikakimbia kwa miguu, kuna wakati akili inajam; huku corona imebana huku Mbowe anahamasisha mikutano kabla ya wakati lazima maneno yapandane. pamoja na chadema kuwa ICU lakini huwezi kubeza kauli za kishawishi na kuleta shaka inayoweza kuleta sintofahamu ya usalama. Polepole hakudhamilia kutenda kosa. Askofu asituzingue apige goti aombee, ngome ya shetani imeingiliwa pembe yake imeinuka lakini nguvu za Mungu zitashinda asomaye na afahamu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…