Baba askofu wa Kanisa Katoliki Nchini Marekani Father Hilarion Heagy amesilimu na kuingia katika Uisilamu

Baba askofu wa Kanisa Katoliki Nchini Marekani Father Hilarion Heagy amesilimu na kuingia katika Uisilamu

G Tank

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2023
Posts
2,297
Reaction score
8,760
baba askofu Hilarion Heagy baada ya kusilimu amechagua jina "Said Abdul Latif"

alisema kwamba "Baada ya miongo kadhaa ya kuhisi kuvutiwa na Uislamu kwa viwango tofauti, hatimaye niliamua kusilimu", "Sikuwa na chaguo lingine isipokuwa ni kusema Laailaha illa Allah Waanna Muhammad Rasulullah"Hakuna mungu apasae kuabudiwa kwa haki ila Mungu mmoja , na Muhammad ni Mtume wa Mungu."

Alihitimu katika chuo cha mapadri cha Holy Resurrection Monastery huko St. Nazianz katika mkoa wa Wisconsin na kuwa padre wa Kikatoliki.

Baada ya habari za kusilimu kwake kuenea na Wakristo kupata huzuni kubwa
Baba Askofu wa kanisa katoliki

Ni habari zilizowapa waumini wengi wa kikatoliki simanzi huku baadhi wakilaani kwa sasa kanisa hilo hasa kwa Marekani na ulaya linajikita zaidi na kutetea badala ya kumemea mahusiano yaliyokatazwa kwenye biblia


Mungu awaongoze katika imani thabit,
 
I dont know the force behinds but for me siwez kuwa Muslim ever...for any reason (s)
Viongozi wa kikisto wanaposilimu ndio wnye impact kubwa zaidi ya kuwafanya wengine wengi nyuma yao kusilimu,
 
Roman catholic wanaendelea na mpango wao wa kuirudisha dini ya kiislamu kule Vatican walikoianzishia na kuiandikia Quran. Dunia moja na dini moja ipo karibuni.
Lkn katika Qur'an kuna Aya bahati mbaya haipo karibu inasema,walio karibu zaidi kuyaamini maneno ya Allah na kusilimu ni wakristo baada ya kujua haki au kujua ukweli WA maneno ya Mwenyezi Mungu.
 
Sio Askofu lakini, umedanganya umma apo
IMG_0901.jpg
 
Basi vifijo na vigeregere mnavipata watu wa buza huku kwa mtogore.

Aliye waroga waafrika anastahili adhabu kali ya uhalifu wa kigaidi
 
Hakuna askofu anatajwa jina kwa kuanza na Father, huanza na Bishop. Na huyo hakuwa askofu.

Eastern Catholic Church ni tofauti kidogo na Roman Catholic na zina sheria tofauti ila mkuu mmoja Papa. Wana mfanano na Orthodox

Hiyo ni dini yake ya tatu ikimpendeza ataenda nyingine. Utalii ni kitu kizuri
 
akajifunze na kutega mabomu sasa
 
Alibadilisha makanisa ya dini ya Kikristo mara tatu, moja ya Kikatoliki, Kiorthodoksi, mtawa wa Kikatoliki cha Byzantine….msifurahie Waislamu, katika miaka mitano ijayo mtamwona akibadilika na kuwa mtawa wa saolini….ana wazimu tu.
 
sio askofu kisa nini ? au ni ndevu ?

Yesu alikuwa na ndevu. Alifuata sheria za baba yake ambayo iliwakataza wanaume ‘wasiharibu ncha ya ndevu zao.’ (Mambo ya Walawi 19:27;

Ni padre tu, jifunze kutofautisha Askofu na padre
 
Hakuna askofu anatajwa jina kwa kuanza na Father, huanza na Bishop. Na huyo hakuwa askofu.

Eastern Catholic Church ni tofauti kidogo na Roman Catholic na zina sheria tofauti ila mkuu mmoja Papa. Wana mfanano na Orthodox

Hiyo ni dini yake ya tatu ikimpendeza ataenda nyingine. Utalii ni kitu kizuri

Jamaa anahama hama kinoma, kwenye ukristo tu kashapita madhehebu manne na saiv kaenda kwnye uislam. Usishangae baadae akasema anakuwa myahudi
 
Back
Top Bottom