Baba askofu wa Kanisa Katoliki Nchini Marekani Father Hilarion Heagy amesilimu na kuingia katika Uisilamu

Baba askofu wa Kanisa Katoliki Nchini Marekani Father Hilarion Heagy amesilimu na kuingia katika Uisilamu

baba askofu Hilarion Heagy baada ya kusilimu amechagua jina "Said Abdul Latif"

alisema kwamba "Baada ya miongo kadhaa ya kuhisi kuvutiwa na Uislamu kwa viwango tofauti, hatimaye niliamua kusilimu", "Sikuwa na chaguo lingine isipokuwa ni kusema Laailaha illa Allah Waanna Muhammad Rasulullah"Hakuna mungu apasae kuabudiwa kwa haki ila Mungu mmoja , na Muhammad ni Mtume wa Mungu."

Alihitimu katika chuo cha mapadri cha Holy Resurrection Monastery huko St. Nazianz katika mkoa wa Wisconsin na kuwa padre wa Kikatoliki.

Baada ya habari za kusilimu kwake kuenea na Wakristo kupata huzuni kubwa
Baba Askofu wa kanisa katoliki

Ni habari zilizowapa waumini wengi wa kikatoliki simanzi huku baadhi wakilaani kwa sasa kanisa hilo hasa kwa Marekani na ulaya linajikita zaidi na kutetea badala ya kumemea mahusiano yaliyokatazwa kwenye biblia


Mungu awaongoze katika imani thabit,
 
Lkn katika Qur'an kuna Aya bahati mbaya haipo karibu inasema,walio karibu zaidi kuyaamini maneno ya Allah na kusilimu ni wakristo baada ya kujua haki au kujua ukweli WA maneno ya Mwenyezi Mungu.
Quran inatambua wakristo, Bible haijui waislam.
 
Back
Top Bottom