Baba Chaula: Polisi niambieni mwanangu kama yu hai tu basi inatosha, nahisi roho yangu inashindwa kuvumilia haya maumivu

Baba Chaula: Polisi niambieni mwanangu kama yu hai tu basi inatosha, nahisi roho yangu inashindwa kuvumilia haya maumivu

Acha upumbavu! Yeye kama mzazi anapaswa kufanya chochote ili mwanawe apatikane akiwa hai.
we koloma sisi tulichanga michango dogo atoke ndani, baba ake hakutushukuru, few days later akaenda kwnye mkutanowa ccm kuomba msamaha, angeend kuomba msamaha kipind dogo yuko ndani ningekuelewa!
 
Endeleeni kuwaamini polisi mi nilishaacha mambo ayo zamani
 
Vijana kama unaweza ku avoid matatizo na serikali basi kaa pembeni tulia

Utaishia kuitesa familia yako bure na sacrifice yako haitakua na impact yoyote ile

Tutalalamika kidogo mitandaoni then tutakusahau kabisaa
Hapana watakumbukwa siku moja. Watakumbukwa kama wanavyokumbukwa mababu zetu walionyongwa wakipigania uhuru wa Taifa hili.

Japo nina ushauri pia kwa vijana wenzangu. Haki huwa inakuja kwa gharama, utapoteza vingi ukijaribu kuwapambania Watanzania. Hawapo tayari kupambaniwa, mtahatarisha maisha yenu kwa watu ambao hawajitambui.

Kuna mambo Serikali inafanya mambo yanaprovoke kabisa Wananchi na ukitukana umepotea. Kwa Watanzania hawa jifunzeni kukaa kimya siku ipo ambayo hatalazimishwa mtu na yoyote kukosoa, kuandamana na kupinga maovu yote yanayotendeka. Maisha yakiwanyoosha plus hizi kodi zinazubuniwa kila siku kuna siku tu itakuja.

Kama alishambuliwa Lissu na status yake ya Mnadhimu mkuu wa kambi ya upinzani, wewe nani?

Japo kwenye harakati watu kama kina Chaula wapo ili utimie ule msemo sio vibaya wachache wakafa ili wengi waishi vyema. Na maadam wameshaanza kucheza na damu za watu Mungu atavisikia vilio vya Yatima na Wajane walioachwa wasijue wataishi vipi. Hakuna damu ya mtu itaenda bure.
 
Kufuatia taarifa za kupotea katika mazingira yanayodaiwa ‘kutekwa’ kwa Shadrack Chaula ambaye ni Msanii wa Sanaa ya Uchoraji, baba mzazi wa kijana huyo, mzee Yusuph Sisala Chaula amesema anaomba ajulishwe tu mwanaye kama yu hai au la ili moyo wake uwe na amani.

Amesema “Unajua inaweza kufa roho moja lakini hiyo moja ikafa na nyingine kadhaa kutokana na mawazo. Siku ya nne sasa sijui mwanangu yuko wapi.

“Polisi wamesema wanaendelea na uchunguzi lakini mpaka sasa wapo kimya na sina taarifa zozote, kama yupo hai waniambie tu ili nafsi yangu itulie, kama ameshikiliwa na Vyombo vya Usalama waniambie tu pia nijue yupo hai tutaenda kumuona.

“Hata kama yupo gerezani waniambie tu nitajua yupo hai na ipo siku nitaenda kumuona, naongea kwa uchungu sana, najiona nashindwa kuvumilia haya maumivu, sijui nini kitatokea, lakini naomba Serikali iniambie tu mwanangu yuko hai hata kama wanaendelea kumshikilia kuliko huu ukimya uliopo sasa.

“Mara ya mwisho tumewasiliana na Mpelekezi tuliyepewa asimamie suala hilo jana (Agosti 5, 2024) baada ya hapo hatujapata taarifa nyingine ya ziada.”

JamiiForums ilimtafuta Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya, jana Agosti 5, 2024, alipoulizwa kuhusiana na suala hilo alisema “Nipo msibani tutawasiliana baadaye.” Baada ya hapo simu yake haikupokelewa.

Alipotafutwa leo Agosti 6, 2024, simu haikupokelewa, akatuma ujumbe “Nitakupigia baadaye.”

Ikumbukwe Julai 8, 2024, Shadrack Chaula aliachiwa huru kutoka gerezani baada ya kulipa faini ya Tsh. Milioni 5 ikiwa ni siku chache tangu kuhukumiwa kifungo cha Miaka Miwili jela au kulipa Faini hiyo kwa kosa la kutoa taarifa za uongo Mtandaoni.
Ni muda mfupi sana toka mlipomtenga mtoto wenu na kujipendekeza kwa CCM baada ya kushikwa mkono mumtenge, ona sasa mlikuwa hamijui vizuri CCM.
 
Huu ujinga wa kutekanabona
we koloma sisi tulichanga michango dogo atoke ndani, baba ake hakutushukuru, few days later akaenda kwnye mkutanowa ccm kuomba msamaha, angeend kuomba msamaha kipind dogo yuko ndani ningekuelewa!
Hiyo siyo sababu yeye kama mzazi lazima afanye chochote ili kumpambania mwanaye kwa namna yoyote
 
Young Jeezy - My President
Yeah be the realest shit I never wrote
I ain't write this shit by the way nigga
Some real shit right here nigga
This will be the realest shit you ever quote
Lets go!
My president is black, my Lambo's blue
And I be god damn if my rims ain't too
My momma ain't at home and daddy still in jail
Tryna make a plate anybody seen the scale
Lets go!
My president is black, my Lambo's blue
And I be god damn if my rims ain't too
My money's light green and my Jordans light grey
And they love to see white now how much you tryna pay
Lets go!
Today was a good day hope I have me a great night
I dunno what you fishin' for hope you catch you a great white
Me I see great white heavy as killer whales
I cannot believe this who knew it came in bails
Who knew it came with jail who knew it came with prison
Jus cuz you got an opinion does that make you a politician
Bush robbed all of us would that make him a criminal
& den he cheated in Florida would dat make him a seminal
I say and I quote "we need a miracle"
And I say a miracle cuz this shit is hysterical
By my nephews and nieces I will email Jesus
Tell him forward to Moses and cc Allah
Mr. soul survivor does that make me a konvict
Be all u can be now don't dat sound like some dumb shit
When you die over crude oil as black as my nigga boo
It's really a desert storm that's word to my nigga clue
Catch me in Las Vegas, a.r. Arizona
Rep for them real niggaz im winnin' in California
Winnin' in Tennessee hands down Atlanta
Landslide Alabama on my way to Savannah...
 
Haka ka mchezo ka kutekana tekana kamekuwa katamu, kuna siku atatekwa Rais wetu ndo tutashutuka kumeshakucha.
 
Vijana kama unaweza ku avoid matatizo na serikali basi kaa pembeni tulia

Utaishia kuitesa familia yako bure na sacrifice yako haitakua na impact yoyote ile

Tutalalamika kidogo mitandaoni then tutakusahau kabisaa
Acha nidhamu ya uoga watu kama nyinyi mnatakiwa mkae na kina dada jikoni muwe mnapika tu maana mkikaa na wanaume mnawakatisha tamaa
 
polisi kama wangekua wamemshikilia wao basi kungekua na taarifa kwasababu alivunja sheria hivyo sidhani kama polisi wangekua na sababu yeyote ya kumshikilia kkwa siri wakati amevunja sheria na iko wazi, labda polisi wangesaidia tu kufanya uchunguzi wa kina juu ya upoteaji wa kijana huyo na sio kuwatolea lawama kua wanahusika na uopotevu wa kijana wenu.

Kwani yule wa Handeni alishikikiwa kwa muda gani hadi jeshi la polisi kukubali kuwa wako nae tangu wakati huo?
Au je kama sio jeshi la polisi ni chombo gani kingine?
 
Vijana kama unaweza ku avoid matatizo na serikali basi kaa pembeni tulia

Utaishia kuitesa familia yako bure na sacrifice yako haitakua na impact yoyote ile

Tutalalamika kidogo mitandaoni then tutakusahau kabisaa
📌📌
 
Kufuatia taarifa za kupotea katika mazingira yanayodaiwa ‘kutekwa’ kwa Shadrack Chaula ambaye ni Msanii wa Sanaa ya Uchoraji, baba mzazi wa kijana huyo, mzee Yusuph Sisala Chaula amesema anaomba ajulishwe tu mwanaye kama yu hai au la ili moyo wake uwe na amani.

Amesema “Unajua inaweza kufa roho moja lakini hiyo moja ikafa na nyingine kadhaa kutokana na mawazo. Siku ya nne sasa sijui mwanangu yuko wapi.

“Polisi wamesema wanaendelea na uchunguzi lakini mpaka sasa wapo kimya na sina taarifa zozote, kama yupo hai waniambie tu ili nafsi yangu itulie, kama ameshikiliwa na Vyombo vya Usalama waniambie tu pia nijue yupo hai tutaenda kumuona.

“Hata kama yupo gerezani waniambie tu nitajua yupo hai na ipo siku nitaenda kumuona, naongea kwa uchungu sana, najiona nashindwa kuvumilia haya maumivu, sijui nini kitatokea, lakini naomba Serikali iniambie tu mwanangu yuko hai hata kama wanaendelea kumshikilia kuliko huu ukimya uliopo sasa.

“Mara ya mwisho tumewasiliana na Mpelekezi tuliyepewa asimamie suala hilo jana (Agosti 5, 2024) baada ya hapo hatujapata taarifa nyingine ya ziada.”

JamiiForums ilimtafuta Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya, jana Agosti 5, 2024, alipoulizwa kuhusiana na suala hilo alisema “Nipo msibani tutawasiliana baadaye.” Baada ya hapo simu yake haikupokelewa.

Alipotafutwa leo Agosti 6, 2024, simu haikupokelewa, akatuma ujumbe “Nitakupigia baadaye.”

Ikumbukwe Julai 8, 2024, Shadrack Chaula aliachiwa huru kutoka gerezani baada ya kulipa faini ya Tsh. Milioni 5 ikiwa ni siku chache tangu kuhukumiwa kifungo cha Miaka Miwili jela au kulipa Faini hiyo kwa kosa la kutoa taarifa za uongo Mtandaoni.
Imeshaanza kuwa kawaida
867cece7-2354-4985-ade9-fc5f3a44d84c.jpeg

Anaitwa Prosper Theonas Mjaly alichukuliwa nyumbani kwake Chamazi mbagala jana 2/8/2024 asubuhi saa 5 na watu waliojifanya Tanesco.Toka walipomchukua simu ilizimwa na hajaonekana
Niwaombe ukimuona au kuwa na taarifa zozote piga simu Na 757 677 676/0719523522 /0715623862/0766944200
 
Mzee tulimchangia mwanae baada ya kutoka akaenda majukwaani kubeza nguvu za wananchi....
 
Maza anatakiwa kuonesha msimamo zaidi ktk kuhakikisha utulivu na haki kwa wananchi ili wananchi wasiishi kwa simanzi na mashaka
Wananchi wasiishi kwa kuweka vichwa shingo upande.
Hata kama akitaka kujua kinachoendelea iwapo wanamwambia hili tuachie sababu Serikali ni taasisi maza asikubali mambo mengine including kama haya ya utekaji.
Ni aina ya dhuruma Mojawapo mbaya sana ya kiwango cha juu sana.
Serikali kuwa taasisi Kwani maana yake ni hiyo tu ?
 
Back
Top Bottom