Baba Chaula: Polisi niambieni mwanangu kama yu hai tu basi inatosha, nahisi roho yangu inashindwa kuvumilia haya maumivu

Baba Chaula: Polisi niambieni mwanangu kama yu hai tu basi inatosha, nahisi roho yangu inashindwa kuvumilia haya maumivu

Hao watu wa huko wanaitwa nyamanyafu.

May be akifa huyo kijana yatakuwa yale ya wale walioiba jeneza likaanguka gari la mafuta kwenye kile kijiji likawaka moto uliokula karibia kijiji chote.

Enzi za Reinfred Masako.
 
Ila matatizo mengine ni ya kujitakia. Alikua na sababu gani ya kufanya aliyofanya ona wanaoteseka ni wengine na hawakuhusika.
 
Ila matatizo mengine ni ya kujitakia. Alikua na sababu gani ya kufanya aliyofanya ona wanaoteseka ni wengine na hawakuhusika.
Mambo kama haya nahisi kunakuwa kuna mtu wa nyuma, ila sasa linapokukuta jambo zito ndio mtu anajikuta pekee yake.
 
Au ile milioni 5 irudi.pesa mchukue na mtu mum chukue
 
Vijana kama unaweza ku avoid matatizo na serikali basi kaa pembeni tulia

Utaishia kuitesa familia yako bure na sacrifice yako haitakua na impact yoyote ile

Tutalalamika kidogo mitandaoni then tutakusahau kabisaa
Uko sahihi kabisa.
 
Back
Top Bottom