Mtoto wa Shule
JF-Expert Member
- Nov 16, 2014
- 15,133
- 11,914
Mchumia janga hula na wa kwao.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
MtanikumbukaJPM alisingiziwa mabaya mengi sana
Mambo kama haya nahisi kunakuwa kuna mtu wa nyuma, ila sasa linapokukuta jambo zito ndio mtu anajikuta pekee yake.Ila matatizo mengine ni ya kujitakia. Alikua na sababu gani ya kufanya aliyofanya ona wanaoteseka ni wengine na hawakuhusika.
Huyo kijana kayataka mwenyewe, sifa zikizidi mwisho wake ni majuto, haya marafiki zake wakamtafute sasaBaba mzazi wa Shedrack mzee Chaula amesema anamtaka mwanae akiwa Hai au Mfu
Source: Mwananchi
Ccm acheni utekajiBaba mzazi wa Shedrack mzee Chaula amesema anamtaka mwanae akiwa Hai au Mfu
Source: Mwananchi
Lete ushahidiCcm acheni utekaji
Njoo hapa kwangu mbezi beach pembeni ya julianaLete ushahidi
Hapo mtaa wa Dhambi?Njoo hapa kwangu mbezi beach pembeni ya juliana
Uko sahihi kabisa.Vijana kama unaweza ku avoid matatizo na serikali basi kaa pembeni tulia
Utaishia kuitesa familia yako bure na sacrifice yako haitakua na impact yoyote ile
Tutalalamika kidogo mitandaoni then tutakusahau kabisaa
Kweli we fara!Hili huwa nawaambia watu kila siku wananiona fara
Kila siku kuna habari za watu kupotea,kutekwa,lakini waziri na rais wote wanasema nchi ipo salama na hakuna utekaji. INAWEZEKANA VIONGOZI WANAISHI TANZANIA YAO NA RAIA TUNAISHI TANZANIA YETU, yaani yanayotokea hawana taarifa.
Inasikitisha sana
RC akaamrisha wamkamatw tena na kumpotezaaaa.....aliwatukana policcm kuwa wameshindwa kazi....Si alishtakiwa akalipiwa fidia na kutolewa?