we koloma sisi tulichanga michango dogo atoke ndani, baba ake hakutushukuru, few days later akaenda kwnye mkutanowa ccm kuomba msamaha, angeend kuomba msamaha kipind dogo yuko ndani ningekuelewa!Acha upumbavu! Yeye kama mzazi anapaswa kufanya chochote ili mwanawe apatikane akiwa hai.
Hapana watakumbukwa siku moja. Watakumbukwa kama wanavyokumbukwa mababu zetu walionyongwa wakipigania uhuru wa Taifa hili.Vijana kama unaweza ku avoid matatizo na serikali basi kaa pembeni tulia
Utaishia kuitesa familia yako bure na sacrifice yako haitakua na impact yoyote ile
Tutalalamika kidogo mitandaoni then tutakusahau kabisaa
Ni muda mfupi sana toka mlipomtenga mtoto wenu na kujipendekeza kwa CCM baada ya kushikwa mkono mumtenge, ona sasa mlikuwa hamijui vizuri CCM.Kufuatia taarifa za kupotea katika mazingira yanayodaiwa ‘kutekwa’ kwa Shadrack Chaula ambaye ni Msanii wa Sanaa ya Uchoraji, baba mzazi wa kijana huyo, mzee Yusuph Sisala Chaula amesema anaomba ajulishwe tu mwanaye kama yu hai au la ili moyo wake uwe na amani.
Amesema “Unajua inaweza kufa roho moja lakini hiyo moja ikafa na nyingine kadhaa kutokana na mawazo. Siku ya nne sasa sijui mwanangu yuko wapi.
“Polisi wamesema wanaendelea na uchunguzi lakini mpaka sasa wapo kimya na sina taarifa zozote, kama yupo hai waniambie tu ili nafsi yangu itulie, kama ameshikiliwa na Vyombo vya Usalama waniambie tu pia nijue yupo hai tutaenda kumuona.
“Hata kama yupo gerezani waniambie tu nitajua yupo hai na ipo siku nitaenda kumuona, naongea kwa uchungu sana, najiona nashindwa kuvumilia haya maumivu, sijui nini kitatokea, lakini naomba Serikali iniambie tu mwanangu yuko hai hata kama wanaendelea kumshikilia kuliko huu ukimya uliopo sasa.
“Mara ya mwisho tumewasiliana na Mpelekezi tuliyepewa asimamie suala hilo jana (Agosti 5, 2024) baada ya hapo hatujapata taarifa nyingine ya ziada.”
JamiiForums ilimtafuta Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya, jana Agosti 5, 2024, alipoulizwa kuhusiana na suala hilo alisema “Nipo msibani tutawasiliana baadaye.” Baada ya hapo simu yake haikupokelewa.
Alipotafutwa leo Agosti 6, 2024, simu haikupokelewa, akatuma ujumbe “Nitakupigia baadaye.”
Ikumbukwe Julai 8, 2024, Shadrack Chaula aliachiwa huru kutoka gerezani baada ya kulipa faini ya Tsh. Milioni 5 ikiwa ni siku chache tangu kuhukumiwa kifungo cha Miaka Miwili jela au kulipa Faini hiyo kwa kosa la kutoa taarifa za uongo Mtandaoni.
Hiyo siyo sababu yeye kama mzazi lazima afanye chochote ili kumpambania mwanaye kwa namna yoyotewe koloma sisi tulichanga michango dogo atoke ndani, baba ake hakutushukuru, few days later akaenda kwnye mkutanowa ccm kuomba msamaha, angeend kuomba msamaha kipind dogo yuko ndani ningekuelewa!
Mkuu, hayo ni majibu. Uliza maswali.Polisi watajuaje kama yupo hai au amekufa? Au mara ya mwisho wamemchukua wao?
Ndo swali leta jibuMkuu, hayo ni majibu. Uliza maswali.
Fara = Fala.Hili huwa nawaambia watu kila siku wananiona fara
Acha nidhamu ya uoga watu kama nyinyi mnatakiwa mkae na kina dada jikoni muwe mnapika tu maana mkikaa na wanaume mnawakatisha tamaaVijana kama unaweza ku avoid matatizo na serikali basi kaa pembeni tulia
Utaishia kuitesa familia yako bure na sacrifice yako haitakua na impact yoyote ile
Tutalalamika kidogo mitandaoni then tutakusahau kabisaa
polisi kama wangekua wamemshikilia wao basi kungekua na taarifa kwasababu alivunja sheria hivyo sidhani kama polisi wangekua na sababu yeyote ya kumshikilia kkwa siri wakati amevunja sheria na iko wazi, labda polisi wangesaidia tu kufanya uchunguzi wa kina juu ya upoteaji wa kijana huyo na sio kuwatolea lawama kua wanahusika na uopotevu wa kijana wenu.
📌📌Vijana kama unaweza ku avoid matatizo na serikali basi kaa pembeni tulia
Utaishia kuitesa familia yako bure na sacrifice yako haitakua na impact yoyote ile
Tutalalamika kidogo mitandaoni then tutakusahau kabisaa
Imeshaanza kuwa kawaidaKufuatia taarifa za kupotea katika mazingira yanayodaiwa ‘kutekwa’ kwa Shadrack Chaula ambaye ni Msanii wa Sanaa ya Uchoraji, baba mzazi wa kijana huyo, mzee Yusuph Sisala Chaula amesema anaomba ajulishwe tu mwanaye kama yu hai au la ili moyo wake uwe na amani.