Baba Chaula: Polisi niambieni mwanangu kama yu hai tu basi inatosha, nahisi roho yangu inashindwa kuvumilia haya maumivu

Safi mzee..
Kazia hapohapo
Haisaidii kitu.

We need an extremely tough and difficult decisions against the brutal regime in order to stop these barbaric actions within this country.
 
Ukamataji wahalifu wa jeshi la polisi ungeshirikisha uongozi wa serikali ya mtaa

Polisi waambatane na mjumbe wa mtaa wako ndiyo ukubali.tofauti na hapo ni kuwaitia mwizi ndiyo itakomesha huu utekaji.

Wanakuja bila uniforms,bila vitambulisho na gari lolote hata IST wanachobeba ni bunduki mkubwa tu ndiyo ID
 
Waweza kuta Bibie hana habari naye machawa sasa
inabidi watanzania muweke akilini kuwa kuna hadhi/ cheo cha raisi katika nchi ambacho kuna vyombo na mamlaka zinakilinda kwa machozi na damu dhidi ya shambulio lolote liwe la ana kwa ana ama la mbali.

Na pia kuna mama samia hassan suluhu ambaye amepewa hadhi hiyo na nchi hivyo kwa issue kama hyo mama anaweza samehe kwa moyo mmoja lakini vyombo au mamlaka zikaona hapana kuna hatua inabidi zichukuliwe na hatua zinaweza chukuliwa bila hata rais mwenyewe kujua hii ni endapo issue hii inahusu serikali.

Kwa mtu ambae angeamua kufatilia gharama za kila siku za kumtunza rais yoyote wa nchi na gharama za kumpata kuanzia, malazi,mavazi na shughuli zake kila siku basi hakika yasingefanywa kama yaliyofanywa na huyu kijana mwenzetu.

Mwisho Niwahusie vijana wenzangu tuendelee kufata sheria za nchi kwa usalama wetu na familia zetu na nchi yetu kwa ujumla kwani sisi ndio wa kuijenga na kuibomoa nchi yetu.
 
Kwa hiyo kumteka mwananchi kijinai ndiyo kufuata sheria huko?

Kosa lolote la jinai hufikishwa mahakamani kwa hatua za kisheria.

Acha kubariki uzandiki, kwa mawazo, kwa maneno ama kwa vitendo.
 
Ni upuuzi tupu.

Mnataka kujivika utukufu ili muonekane kuwa ni Watu wa maana zaidi kuliko watu wengine.

Hadhi au Jina la mtu halilindwi kwa kuwafanyia Uhalifu Watu wengine.

"Chema chajiuza chenyewe na kibaya chajitembeza."
 
Waweza kuta Bibie hana habari naye machawa sasa


Ni ngumu kuamini hayo.
Utakuwa mwenye Nyumba usijue yanayoendelea ndani ya Nyumba yako ?
Na ikifika hatua hiyo ujue shida ni kubwa zaidi somewhere
 
Baba Chaula kuna ofisi inaitwa TLS kuna mwamba pale anaitwa Mwabukusi. Nenda pale utapata msaada
 
Ingekuwa ni Amdul kufanyiwa hivyo ingekuwaje?
Angejisikiaje ?
Wakati alishakuhumiwa na kulipa fine yote ?
Kinachozidi hapo nini kama sio dhuruma na udhalimu ?
 
Baba mzazi wa Shedrack mzee Chaula amesema anamtaka mwanae akiwa Hai au Mfu

Source: Mwananchi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…