The Icebreaker
JF-Expert Member
- Feb 11, 2018
- 22,278
- 65,817
Mmh. Haya Mkuu. Hivyo kwa alichokiandika huenda akapata Bima ya Afya, au atapata nini?Unafikili uyo zubeda anayemwita mwanawe wa iyari angempata vipi bila media, mkuu omba mungu tu lakini don't undermine a power of media.
Mkuu Diamond angeishi maisha ya raha pengine huenda wala asingefika hapo alipo leo,siku zote shida huleta maarifa,sometimes maadui nao pia wana mchango kwenye maendeleo ya mtu.Hili liwe funzo kwa madingi ambao wanakimba majukumu yao.....angeliambatana nao enzi za shida asingelipata shida nyakati hizi za mavuno.
Hapa anavuna mbegu ya chuki aliyoipanda miaka tele nyuma.
Yani siyo smart kwenye haya mambo ya Kiki. Hii ingempaisha Sana hasa kipindi hichi alichoachia nyimbo mbovuAli kiba angekuwa mtu wa kiki hapa Ange zikamata media za burudani haswa. Ajitolee kumpatia gharama za matibabu baba wa hasimu wake.
Chibu ni mtu mzima sasa...najua kama mtoto wa kiume lazima amuheshimu na kumsikiliz Mama....Lakini.....lakini bado ana maamuzi yake kama mtoto wa kiume...Hapa wa kuwekwa sawa ni mama chibu. He has been brainwashed by her. Nachibu anasimamia Sana kauli za bimkubwa
Soma Story vizuri then ujue muhusika yupo kwenye hali gani, tusichangie kama vinafikili vidole viandike nini.Mmh. Haya Mkuu. Hivyo kwa alichokiandika huenda akapata Bima ya Afya, au atapata nini?
Mkuu asante sana kwa hii comment,nimejifunza jambo kubwa sana.Chibu ni mtu mzima sasa...najua kama mtoto wa kiume lazima amuheshimu na kumsikiliz Mama....Lakini.....lakini bado ana maamuzi yake kama mtoto wa kiume...
Unajua maji hufuata mkondo.....Chibu atambue pia watoto wake wanaweza kuja kumtenda haya anayotenda yy maana hatuwezi jua "wataambiwa nini" na mama zao huko mbeleni.......what goes around comes around
Basi kama baba aliamua kuwa sehemu ya maadui wa mwanae aendelee kuwa adui hivyohivyo yaani apambane na maisha yake.... kulialia kila siku usaidiwe ni umama,Mkuu Diamond angeishi maisha ya raha wala asingefika hapo alipo,siku zote shida huleta maarifa,sometimes maadui nao pia wana mchango kwenye maendeleo ya mtu.
Pamoja sana kiongoziMkuu asante sana kwa hii comment,nimejifunza jambo kubwa sana.
Hii inaweza kumshusha pia kimziki na hata kiuchumi. Mzee amelalamika siku nyingi sana, amtunzeAsichojua Diamond mzee wake akifa ataandamwa sana, na itakuwa ni kama laana kwake. Namsihi achukue hatua mapema kabla mambo hayajaharibika. Misaada anayotoa kilasiku haina maana kama ameshindwa kumsaidia babayake
Hili swali nimejiuliza sanaHivi akifa hawatakwenda msibani?
Kabisa inawezekana ni mtego huuAsichojua Diamond mzee wake akifa ataandamwa sana, na itakuwa ni kama laana kwake. Namsihi achukue hatua mapema kabla mambo hayajaharibika. Misaada anayotoa kilasiku haina maana kama ameshindwa kumsaidia babayake
Waambie bana wwaache upumbavu.....wanakuja wapumbavu wenzak..wataokubali ujinga huu
Mkuu hakuna kitu inauma kama mtu wako wa karibu zaidi kuwa sehemu ya maadui......automatic ukimpenda mwanau nae lazima akupende so na chibu akizingua kwa wanae ajue anajitengenezea haya yanayompata baba chibu ila akiwapenda na kuwahudumia abadani laana hii haiwezi kumpata kwa kutomsamehe mzazi wake wa kiume.Chibu ni mtu mzima sasa...najua kama mtoto wa kiume lazima amuheshimu na kumsikiliz Mama....Lakini.....lakini bado ana maamuzi yake kama mtoto wa kiume...
Unajua maji hufuata mkondo.....Chibu atambue pia watoto wake wanaweza kuja kumtenda haya anayotenda yy maana hatuwezi jua "wataambiwa nini" na mama zao huko mbeleni.......what goes around comes around
Hahahaha ingekuwa hatari yaniiAli kiba angekuwa mtu wa kiki hapa Ange zikamata media za burudani haswa. Ajitolee kumpatia gharama za matibabu baba wa hasimu wake.
Na huko ndo anakoelekea maana...Chibu ni mtu mzima sasa...najua kama mtoto wa kiume lazima amuheshimu na kumsikiliz Mama....Lakini.....lakini bado ana maamuzi yake kama mtoto wa kiume...
Unajua maji hufuata mkondo.....Chibu atambue pia watoto wake wanaweza kuja kumtenda haya anayotenda yy maana hatuwezi jua "wataambiwa nini" na mama zao huko mbeleni.......what goes around comes around