Baba Diamond aomba mwanae amkatie angalau bima ya afya

Baba Diamond aomba mwanae amkatie angalau bima ya afya

Huyu mzee kwani ana mtoto mmoja tuu? Kama anao watoto wengine wao wako wapi? Nao pia hawataki kumsaidia?

Huyu mzee ni "Brand" ana jina kutokana na umaarufu wa mwanae,binafsi naona hiyo ni fursa nzuri sana kwa mtu mwingine kumsaidia kisha nae akalitumia jina la huyo mzee,ni sawa na yule jamaa aliyemywekea dhamana Amber rutty,yule jamaa kaona fursa na ameshakua maarufu

Mwisho,dunia ni mapito tu,leo tupo juu ya ardhi kesho tutakua chini ya ardhi,tupendane,tuheshimiane,tusaidizane kisha tumpende Mungu.
 
Hili liwe funzo kwa madingi ambao wanakimba majukumu yao.....angeliambatana nao enzi za shida asingelipata shida nyakati hizi za mavuno.

Hapa anavuna mbegu ya chuki aliyoipanda miaka tele nyuma.
Mkuu Diamond angeishi maisha ya raha pengine huenda wala asingefika hapo alipo leo,siku zote shida huleta maarifa,sometimes maadui nao pia wana mchango kwenye maendeleo ya mtu.
 
Hapa wa kuwekwa sawa ni mama chibu. He has been brainwashed by her. Nachibu anasimamia Sana kauli za bimkubwa
Chibu ni mtu mzima sasa...najua kama mtoto wa kiume lazima amuheshimu na kumsikiliz Mama....Lakini.....lakini bado ana maamuzi yake kama mtoto wa kiume...
Unajua maji hufuata mkondo.....Chibu atambue pia watoto wake wanaweza kuja kumtenda haya anayotenda yy maana hatuwezi jua "wataambiwa nini" na mama zao huko mbeleni.......what goes around comes around
 
Mmh. Haya Mkuu. Hivyo kwa alichokiandika huenda akapata Bima ya Afya, au atapata nini?
Soma Story vizuri then ujue muhusika yupo kwenye hali gani, tusichangie kama vinafikili vidole viandike nini.

Kimsingi mzee anaelekea kufia kitandani bila pesa ya Kyla, matibabu na msongo.
 
Chibu ni mtu mzima sasa...najua kama mtoto wa kiume lazima amuheshimu na kumsikiliz Mama....Lakini.....lakini bado ana maamuzi yake kama mtoto wa kiume...
Unajua maji hufuata mkondo.....Chibu atambue pia watoto wake wanaweza kuja kumtenda haya anayotenda yy maana hatuwezi jua "wataambiwa nini" na mama zao huko mbeleni.......what goes around comes around
Mkuu asante sana kwa hii comment,nimejifunza jambo kubwa sana.
 
Ingekuwa ni mimi ndio mzee tumepoteanza form one nna akili zangu, nisingemtenga huyu mzee yaani ningemuachia mungu amhukumu mwenyewe

Ningemhudumia kimya kimya tu.

Najiuliza siku Diamond huyu mzee akifa ataenda kumzika?
 
Mkuu Diamond angeishi maisha ya raha wala asingefika hapo alipo,siku zote shida huleta maarifa,sometimes maadui nao pia wana mchango kwenye maendeleo ya mtu.
Basi kama baba aliamua kuwa sehemu ya maadui wa mwanae aendelee kuwa adui hivyohivyo yaani apambane na maisha yake.... kulialia kila siku usaidiwe ni umama,
binafsi sina huruma na madingi wa hivi.....hawa watu wanajisahau sana man!!
 
Asichojua Diamond mzee wake akifa ataandamwa sana, na itakuwa ni kama laana kwake. Namsihi achukue hatua mapema kabla mambo hayajaharibika. Misaada anayotoa kilasiku haina maana kama ameshindwa kumsaidia babayake
Hii inaweza kumshusha pia kimziki na hata kiuchumi. Mzee amelalamika siku nyingi sana, amtunze
 
Hivi baba mzazi kweli unaenda lalamika kwenye mitandao ili iweje?
Anashindwa kumtafuta kwa simu na kumuita
Baba ni baba tu sidhani kama mtoto anaweza kumkatia simu au kukataa kumuona
Kwa kweli ni mambo magumu sana ila kama anapata hela kidogo kwa ajili ya kuongea na wanahabari basi atulie ale hizo senti wanazompa kwa kujianika
 
Asichojua Diamond mzee wake akifa ataandamwa sana, na itakuwa ni kama laana kwake. Namsihi achukue hatua mapema kabla mambo hayajaharibika. Misaada anayotoa kilasiku haina maana kama ameshindwa kumsaidia babayake
Kabisa inawezekana ni mtego huu
 
Chibu ni mtu mzima sasa...najua kama mtoto wa kiume lazima amuheshimu na kumsikiliz Mama....Lakini.....lakini bado ana maamuzi yake kama mtoto wa kiume...
Unajua maji hufuata mkondo.....Chibu atambue pia watoto wake wanaweza kuja kumtenda haya anayotenda yy maana hatuwezi jua "wataambiwa nini" na mama zao huko mbeleni.......what goes around comes around
Mkuu hakuna kitu inauma kama mtu wako wa karibu zaidi kuwa sehemu ya maadui......automatic ukimpenda mwanau nae lazima akupende so na chibu akizingua kwa wanae ajue anajitengenezea haya yanayompata baba chibu ila akiwapenda na kuwahudumia abadani laana hii haiwezi kumpata kwa kutomsamehe mzazi wake wa kiume.
 
Chibu ni mtu mzima sasa...najua kama mtoto wa kiume lazima amuheshimu na kumsikiliz Mama....Lakini.....lakini bado ana maamuzi yake kama mtoto wa kiume...
Unajua maji hufuata mkondo.....Chibu atambue pia watoto wake wanaweza kuja kumtenda haya anayotenda yy maana hatuwezi jua "wataambiwa nini" na mama zao huko mbeleni.......what goes around comes around
Na huko ndo anakoelekea maana...
 
Back
Top Bottom