The Icebreaker
JF-Expert Member
- Feb 11, 2018
- 22,278
- 65,817
Huyu mzee kwani ana mtoto mmoja tuu? Kama anao watoto wengine wao wako wapi? Nao pia hawataki kumsaidia?
Huyu mzee ni "Brand" ana jina kutokana na umaarufu wa mwanae,binafsi naona hiyo ni fursa nzuri sana kwa mtu mwingine kumsaidia kisha nae akalitumia jina la huyo mzee,ni sawa na yule jamaa aliyemywekea dhamana Amber rutty,yule jamaa kaona fursa na ameshakua maarufu
Mwisho,dunia ni mapito tu,leo tupo juu ya ardhi kesho tutakua chini ya ardhi,tupendane,tuheshimiane,tusaidizane kisha tumpende Mungu.