duuuu!Apande alichovuna
Usiwe na moyo uliobeba visasiWala hata sihitaji ukaribu naye.
Hata namba yake sina.
Juzi mdogo wangu wa kike kanipigia simu eti "baba" amemwomba namba yangu, amempa lakini kaogopa kunipigia.
Hatukuwa na ukaribu tangu zamani, sioni kama tunahitaji kuwa na ukaribu sasa. Ila hatuna ugomvi.
Ampotezee vipi wakati hajawahi kuwa na ukaribu naye ?Kwaiyo Kama kalea mwingine ndo ampotezee? Kwani hao wengine anawapa misaada wote wanapenda
Dini inasema kabla ya kuzihusia nafsi zingine iusie Kwanza nafsi yako
Kisasi gani tena ?Usiwe na moyo uliobeba visasi
Kusamehe ni kujiweka huru
Mzazi ni tofauti na Mimi, bado Kuna nafasi kurekebisha palipoharibika.Kisasi gani tena ?
Kwani wewe una ukaribu na mimi ?
Huna, kwani inamaana nalipa kisasi au nina ugomvi na wewe ?
Tunaishi tu maisha ambayo tumekuwa tukiyaishi tangu zamani, kwanini alazimishe tuwe na ukaribu sasa hivi.
Nimemsaheme yeye awe na amani tu.Mzazi ni tofauti na Mimi, bado Kuna nafasi kurekebisha palipoharibika.
Inawezekana mzee ametambua alipokosea.
Wapumbavu sana nyinyi
Hakuna muda wa kujiuliza chochote na kuanza kutafuta excuses za kijinga linapokuja suala la kumsaidia mzazi wako even binadam mwenzako hasa unapokuwa ktk kiwango cha juu cha mafanikio yako,anachokifanya huyu ni kuendelea kujitafutia umaarufu kupitia matatizo ya baba yake jambo ambalo ni baya hakuna namna ya kulielezea likaeleweka.Kwa nini?
Co hilo tu angesoma na kufauru angekuwa mwalimu WA primary auto na degree yake anahaha na vyeti mtaan kusaka ajira auto pia angekuwa amepta ajira ila mshahara ndo ule WA kwenye kijiko ambao ni maden kwa mangi kila ckDiamond ni mjinga sanaa,asichokijua kuwa mayeso ya mzee wake ndiyo yaliyompa hasira hadi akapambana hadi kufikia Hapo alipo kwanza angetakiwa amshukuru sanaa mzee .huenda baba asingefanya aliyomfanyia basi angekuwa bado kitaa anapambana na hali hii mbovu mbovu.
Achaneni na biashara ya Mond na Baba yake... Uzi wa aina hii si wa kwanza hapa.Na ww tumechoka sema unalolijua
UmeonaeeCo hilo tu angesoma na kufauru angekuwa mwalimu WA primary auto na degree yake anahaha na vyeti mtaan kusaka ajira auto pia angekuwa amepta ajira ila mshahara ndo ule WA kwenye kijiko ambao ni maden kwa mangi kila ck
Msaada wa Diamond kwa baba yake HAUONEKANI kama unavyoonekana kwa mama yake..Achaneni na biashara ya Mond na Baba yake... Uzi wa aina hii si wa kwanza hapa.
LAKini kuna uzi kibao pia hapa za Diamond akimpiga dingi tough... Na diamond alishasema mara kibao anamsaidia mzee wake . Ujinga wa wapuuzi wengi hapa na waandishi wapumbavu kama huyo wa mwananchi of which siamini habari hiyo kama kweli ni MCL...Diamond anapokuwa na event maarufu basi ndo yanaona ndio mahala pa kuraise ishu yake na Baba yake... Lakini majinga hayohayo wala hayazungumzii all the charities done.
Wapuuzi kama hao huko Tabora ndo wa kusukuma ndani na kufyeekelea mbali....
Mimi nimezaliwa mpaka namaliza kidato cha sita simjui baba.
Nimesoma kwa shida kubwa sana, kwa kuhangaika sana, kwa uongo uongo na kusaidiwa na wapita njia.
Baada ya kuhitimu kidato cha sita nilikutana na "baba" nikajua labda kwa kuwa hakunilea, sasa atatimiza majukumu yake bila shida, kumbe nilijidanganya tu.
Nimehangaika "mnooo" nimeshinda njaa mpaka siku 4, nimenusulika kuzimia kwenye daladala kwa njaa hapa Dar wakati wa kufukuzia kazi ya ulinzi. Nimekunywa sana juisi za kwenye makopo yaliyotupwa barabarani, nimelala sana mitaani Dar.
Najua alichopitia Diamond na wala hata sioni kama anamkosea huyo mzee. Hana tatizo naye ila ni kuacha kila mtu aendelee na maisha yake kama ilivyokuwa tangu zamani. Tusifuatane fuatane kama ilivyokuwa zamani.