Baba Diamond: Queen Doreen ni mnafiki, nikifa asisogelee jeneza langu

Akwende zake na yeye... ng'ombe walishe wengine maziwa unywe wewe... mimi ningekua mtoto wa huyu mzee wala siwezi kumuongelea popote kwenye jamii ila ntaassume hayupo tu staki mawasiliano ya aina yeyote aendelee kupotea kama alivyopotea mwanzoni
roho mbaya kama mkaanga sumu
 
Akwende zake na yeye... ng'ombe walishe wengine maziwa unywe wewe... mimi ningekua mtoto wa huyu mzee wala siwezi kumuongelea popote kwenye jamii ila ntaassume hayupo tu staki mawasiliano ya aina yeyote aendelee kupotea kama alivyopotea mwanzoni
Lakini haiwezi kubadilisha kuwa huyo ni baba yako mzazi nafikiri cha msingi ni kusamehe....
 
Huyo queen atasemaje baba yake ni Nasibu?? kua Nasibu ndio alilala na mama yake akazaliwa yeye??
Maneno mengine ni kufuru ila watu hawazingatii hilo maskini.
Wanaomshambulia huyu mzee ni manyang'au ya JF wasio na watoto. Yaani jinsi kumlea mtoto ulivyomgumu vile uhangaike naye mpaka awe mtu mzima, mara ukose usingizi kwa ajili yake, mara ukose hata nguo ya kuvaa kwa kumtunza halafu anakuwa mtu mzima na kijiumaarufu anasema wewe siyo baba yake na kwamba baba yake ni kaka yake. Hiyo kauli ya Quuen kwamba yeye anaweza akasema diamond ndiyo baba yake ni kauli ya kijinga na kudhalilisha diamond anaweza kuona uchi wa mama yeke?.
 
Mmhh!nirudi kwenye uislam aliwazaa ndoani?
 
Sema wewe kaka mkubwa, kuna watu wanamsapoti lakini kauli yake hiyo Mungu ameshaiandika na one day Karma itafanya kazi yake.
 
kwa maamuzi haya aliyoyafanya inathibitisha kabisa kama ana akili za kitoto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…