Baba Diamond: Queen Doreen ni mnafiki, nikifa asisogelee jeneza langu

Baba Diamond: Queen Doreen ni mnafiki, nikifa asisogelee jeneza langu

familia ile huiwezi mkuu ..ni sampuli flani ya watu wa uwanja wafisi
Kwakweli inasikitisha sana, wanatia huruma daily drama tu watengeneze reality show itawalipa.
hahaaaa ..uliongea point then anajitokeza mtu mwenye utindio wa ubongo ana kudiss tena huku akiwa hana hoja ya msingi

Kakurupuka na hangover ya matapu tapu.... hahahaha
 
Kwakweli inasikitisha sana, wanatia huruma daily drama tu watengeneze reality show itawalipa.

Kakurupuka na hangover ya matapu tapu.... hahahaha
kwakweli .utamwambiaje baba yko vile..eti baba yangu ni Nasibu..daaah hata kama nikweli kuwa mshua hakusaidii but unavunga tu ili yasifike kwenye Jamii
 
Maneno mazito; duh watu hawa ata kaba ya maneno.
 
Ndio maana mi narekebisha mambo yangu, ikifika fainali sitaki kubanana na wajukuu zangu. Huyu mzee bora angefungua hata genge tu auze vitunguu kuliko lawama hizi.
 
Akwende zake na yeye... ng'ombe walishe wengine maziwa unywe wewe... mimi ningekua mtoto wa huyu mzee wala siwezi kumuongelea popote kwenye jamii ila ntaassume hayupo tu staki mawasiliano ya aina yeyote aendelee kupotea kama alivyopotea mwanzoni
 
Back
Top Bottom