Culture Me
JF-Expert Member
- May 24, 2017
- 10,490
- 21,398
Kwakweli inasikitisha sana, wanatia huruma daily drama tu watengeneze reality show itawalipa.familia ile huiwezi mkuu ..ni sampuli flani ya watu wa uwanja wafisi
hahaaaa ..uliongea point then anajitokeza mtu mwenye utindio wa ubongo ana kudiss tena huku akiwa hana hoja ya msingi
Kakurupuka na hangover ya matapu tapu.... hahahaha