Baba Diamond: Usisubiri nife mwanangu, nipeleke Hospitali

Pole Baba Diamond,ila iwe funzo kugombana na mama sio chanzo cha kuwatupa na watoto moja kwa moja,Diamond alilelewa na mama tu....Diamond Muangalie Mzazi wako kashaomba msamaha yaliyopita si ndwele ganga yajayo.

Mi ni fan wa Diamond mkubwa. Mi ni mtu naelaumu saanawaliotelekeza wazazi wao! Lakini Diamond akumbuke baba yake kaomba msamaha(mababa wengine huwa hawaombi wala nini) nay eye naamini mtu wa dini kwa niniasisamehe? Anshindwa nini kufacilitate basi hata kifedha huyu mzee wa watuakatibiwa. Kama aliweza kumpa mtu baki gari anashindwaje huyu mzee ambayeninbaba yake. Diamond naanza kuwa shaka nawe. Pili mpe pesa Yule milyeimba naenitarejea. Hebu kumbuka wema wa nyuma. Sio unashikwa akili na huyo uliyenaeambae kwa hali uliyokuwa nayo wakati unaact Mbagala wala asingekuangalia marambili. Kwlei na Yule aunite a very beautiful aliyeact Mbagala hebu mtoe kidogo Diamondna wewe nyota yako itazidi ng’aa!
 
Kiukweli siujui uchungu wa mtoto aliyetelekezwa na mzazi wake hasa Baba,ila nkiangalia kwa upande mmoja wa huyo mzee sidhani kama anastahili kutoa lawama kwenye vyombo vya habari.

Ajitahidi kuumia tu kimoyomoyo kama alivyoumiaga mwanae kipindi hicho.Na kama hawezi ni heri amtumie Mama wa Daimond ili kupata attention toka kwa Mond.

Ila hiyo kupiga kelele kwenye vyombo vya habari wakati enzi zile wakati yuko fiti alimkataa mtoto,inakuwa kama anajichoresha mwenyewe tu
 
kwa zari show ndio nn what the hell kudos

baba ni baba tu zari show tupa kule .kwa hospital bei gani kipi zaid ya radhi ya mzazi na show za kijinga

wazazi ni Munguvwa pili haijarishi amekufanyia nn.

hingera pdidy kwa kumkumbusha domo

Hata huyo mzee nae enzi hizo alikumbushwa sana na Mama Mond kuhusu mtoto ila akauchuna.Acheni na Mondi auchune
 
Ukweli Baba ni Baba hakuna damu nyingine utakayochanganya ukapata baba wa kukopi, hukiwa mtoto huwezi jua nani aliaanza kuwa mkorofi, Diamondi akumbuke yeye ameacha mademu wangapi na ana uhakika gani na demu wa kumfanya awe mke wake, japokuwa huyu alizidisha hasira, au vyanzo vya fedha vilikuwa vigumu hali ikasababisha akimbie. Au mama alikuwa Asha Ngedere type. Hivyo ni vizuri huyu Diaomdond asiangalie upande mmoja kwani wanawake sometimes sio wazuri khivyo, ila amsifu mama kwa kuchagua baba njanja akarithi akili zake.
 
Hapa kuna vitu vingi vya kujifunza.
Hivi vyombo vya habari hasa magazeti ambayo yametumia picha zake kwenye front page ni kwamba.
Yanaenda kumuhoji lengo kuu sio kumsaidia lengo ni wao kuuza Magazeti yao.Maana hii habari sio mpya,ila wametega wapi pa kupata Kiki nzuri na wameona ni leo siku Ya ZARI Party.

Sasa naamini wameuza na kupata pesa lukuki,sasa wampelekee mgao na baba yake Diamond kwa kuwezesha wao kupata pesa nyingi kwenye hii Story.

Pili,Diamond atakuwa anajua mengi sana kuhusu mzee wake kuliko hata sie tunao comment.
Na pia huyo mzee anatumika kwa maadui wa Diamond hadi hii leo,hasa kwa kuzuazua hizi habari za ajabu ajabu.
We jiulize hii habari haina tofauti ya ya Marema Kanumba.Baba yake kanumba alilalamika eeee,mwisho wa siku kanumba alipofariki akaanza kugombania mali.Wakati malezi alikimbia.Sasa kwenye kipato ndio wao wanaangalia na wala sio kwenye msamaha.

Hawa wazee wengine watu tuwaangalie tu.Wauza magazeti naomba pesa nyingi mliopata kwenye Story mumtibu Baba yake Diamond ili muendelee kupata Story.

Labda pia niwaambie kitu kingine,maana mie napendelea sana kufuatilia Tv shows anazohojiwa huyu Diamond.
Diamond ni miongoni mwa wasanii wenye usiri mkubwa sana wa kutoa misaada kwa watu.Anasaidia watu wengie sana,na vijana wengi sana,na taasisi nyingi sana ila kimya kimya.Na kama akisema basi ujue ni ile ambayo ipo wazi sana.
Maana kama sikosei ana project kubwa ya vijana wa Mbagala,ambapo uwezo wa kufanikiwa ni mkubwa sana kulingana na plan alizoelezea siku anahojiwa.Na inaweza ndio kuwa project kubwa kuwahi kufanywa na msanii yoyote Africa Mashariki.

Amini msiamini,huyo mzee anasaidiwa na Diamond,ila mzee yoyote ambao aliwahi kushika pesa,sikufichi basi msaada mdogo kwake yeye anaona hakuna kitu.Na wengine wana Command kabisa wanachotaka.

ziada tu: Mzee mwenyewe kwenye picha anaonekana sharo wa kasi,sasa mnajuaje kama hiyo miguu inamuuma baada ya kuchukua wake za watu.Sasa amtibu aendelee kuchukua madem wa watu.
Familia zina siri nzito sana
 




agiza kinywaji na lunch hapo visizidi 50,000/

wengi huwa wanapenda wewe ulee mtoto halafu kazi yako kumpelekea mtoto amsalimie baba yake . kulea hawataki lakin kujitapa huyo ni mwanangu tuu lazime ajue mi ni babake? kuzaa hata chui anazaa
 
Wema nilimsamehe kwa kushindwa kumpatanisha Diamond na baba yake,Zari huyo sijui naye itakuwaje!Zari akifanikiwa kuwapatanisha nitamheshimu zaidi.
Tunatakiwa kusamehe kwa vile tunataka kusamehewa.
 
Hivi alipomtelekeza wakati huo akiwa mtoto, je angekufa kwa kukosa huduma au angekuwa teja au mvuta bangi hiyo risala leo hii angemtolea nani?

Siungi mkono hoja acha baba avune alichopanda iwe funzo kwa wababa wengine sharo baro kama yeye.
 

Hiv we unazo zinakutosha kwel,we kama Mungu asingekusamehe ungekua wap?? eb 2mia akil wakat wa kucoment co kutumia vroba
 
Wema nilimsamehe kwa kushindwa kumpatanisha Diamond na baba yake,Zari huyo sijui naye itakuwaje!Zari akifanikiwa kuwapatanisha nitamheshimu zaidi.
Tunatakiwa kusamehe kwa vile tunataka kusamehewa.

Umeongea point mkuu,Mungu ana2penda sana ndo mana ana2samehe hata pale 2naposahau kua 2mekosea
 
Domoooo baba huyo angalia baba huyo akisema vibaya shauri zako domo
 
Hk iko hivi,tatizo la wazazi kutolea watoto hususan wababa kimekithiri,angekuwa jambaz sugu au teja dimond wangeongea sana ndugu wa baba na baba mwenyewe,kuwa mama yk hajui kulea matuc yote angepewa na ilivyokuwa ngumu kulea mtt wa kiume peke yako,inafika miaka 15 mama anatafuta pa kulala kwn hawez kulala chumba kimoja tena na dai,na swala c pesa tu,hata kuja kumuona mtt hawaendi,ili mtoto ajue baba alikuja mama alinikatalia,hata shangazi ,au bb kupiga hata cm wanasusaga kabisa yaani afe tu hyo baba,ili watu wajifunze,naona kwa kanumba haikutosha watu kujifunza kutotelekeza fmlia
 
Hiv we unazo zinakutosha kwel,we kama Mungu asingekusamehe ungekua wap?? eb 2mia akil wakat wa kucoment co kutumia vroba

Vizee vilivyotelekeza watoto wao utavijua tu vikicomment.
 
Huyu mdingi naye asiharibu starehe za watu. Hayo ni malipo ya kum-dis mwanae so asitishie amani maana hilo dua lake haliwezi mpata Diamond wakati mwenye makosa ni yeye baba...kufa ndo Hali ya dunia baada ya muda atasahaulika
 
Huyo diamond awe na akili zake binafsi..kwani baba ake angeamuwa kumpiga nyeto leo angekuwepo.?.Ajifunze kusamehe ndiyo baba ake yule ata afanyaje hawezi kumtoka akilini...
 
Inanikumbusha filamu unaitwa Memoirs of a Geisha.
Kimsingi hapa Diamond anayo HAKI ya kuamua kumsaidia au kutomsaidia Baba yake aliyemtelekeza.
Na kwa yote atabarikiwa.
Diamond mpaka leo hana elimu sababu baba yake alimtelekeza akiwa na uwezo wa kumsaidia kupata haki ya elimu.
Naamini kama Mwenye Enzi asingemfadhili Diamond basi baba yake angeendelea kumkana.
Hivyo uamuzi wowote wa Diamond ni sahihi.
Diamond ni mmoja tu kati ya maelfu ya waliotelekezwa na wanaoteseka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…